Mapenzi ni uzuri wa sura ama pesa?

sanif

JF-Expert Member
Mar 15, 2016
480
323
Angalia picha hii hapa chini kwa makini.Alafu niambie kama mapenzi ni uzuri wa sura ama pesa.


wives.jpg

Baada‬ ya kuangalia vizuri ‪picha‬ za warembo hao na waume zao utakubaliana nami kuwa ‪mapenzi‬ ya ‎dhati‬ hayapo kama mfuko wako umetoboka.
 
Niliowatambua hapo ni klyn na Mengi, kota na nyalandu. wengine ni giza tupu.
 
Back
Top Bottom