mapenzi ni tamaa!

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,250
12,868
mapenzi yanasemekana kuwa ni TAMAA iliyokomaa, jibu ndiyo / hapana kisha tetea jibu lako!
 
ndio
sababu unamtamani mtu kwanza then ndio unampenda ......tamaa hua ndio inatangulia then upendo wa dhati ndio ufate baada ya kua karibu na huyo mtu,ama kushiriki chochote naye(mapenzi)
 
Sijaelewa unazungumzia mapenzi(sex) au upendo!

we unafikiri mapenzi ni sex tu? no tena big NO. Ndo mana unaambiwa uwe na mapenzi ya dhat kwa mkeo/mmeo kwan huwa wanamaanisha sex? mapenzi ni tofaut na sex
 
we unafikiri mapenzi ni sex tu? no tena big NO. Ndo mana unaambiwa uwe na mapenzi ya dhat kwa mkeo/mmeo kwan huwa wanamaanisha sex? mapenzi ni tofaut na sex

Kama ulikua unazungumzia upendo jibu lako ni hapana kwa sababu mahali penye tamaa hakuwezi kuwa na upendo.Upendo na tamaa ni maji na mafuta!Mapenzi ya tamaa yapo na upendo upo,sio yote ni tamaa!
 
mapenzi yanasemekana kuwa ni TAMAA iliyokomaa, jibu ndiyo / hapana kisha tetea jibu lako!

HAPANA: kumbuka kauli za wenye hekima na vitabu vya mafunzo ya maadili husema tamaa ni mbaya na ni LAZIMA tamaa ilete majuto fulani siku za usoni yaweza kuwa aibu au mambo mengine yafananayo na hayo ambayo huwa fedheha kwa anayetamani, lakini hii haiko kwenye mapenzi kwani SI LAZIMA mwisho wa mapenzi ukawa na huzuni, kama ambavyo ningesema NDIYO endapo ungelisema ''tamaa ni mapenzi''

Angalizo: Najua kuna watu watadai kuna tamaa zingine ni nzuri hasa ukiwa watamani kitu, hali fulani ya maisha na mengineyo, but kumbuka hapa twazungumzia mapenzi..haya shauri yako uje vibaya nikukomeshe!!!!!!!
 
ndio
sababu unamtamani mtu kwanza then ndio unampenda ......tamaa hua ndio inatangulia then upendo wa dhati ndio ufate baada ya kua karibu na huyo mtu,ama kushiriki chochote naye(mapenzi)

nimekupata, hyo sabb aliitoa lecturer wangu 1 hv chuo...tulibishana sana sa nlitaka pia kuckia toka kwenu magreat thinker je ni kweli. n-way ngoja tuendelee kupata maoni mbalix2 CUTE
 
Last edited by a moderator:
Hapana! Mapenzi ni mapenzi na tamaa ni tamaa haviingiliana..unaweza kutamani kitu/mtu katika early stages but later tamaa inaisha mizizi ya mapenzi inaota..au unaweza kumtamani mtu lakini usiwe na mapenzi juu yake..
 
Hapana! Mapenzi ni mapenzi na tamaa ni tamaa haviingiliana..unaweza kutamani kitu/mtu katika early stages but later tamaa inaisha mizizi ya mapenzi inaota..au unaweza kumtamani mtu lakini usiwe na mapenzi juu yake..[/QUOTE]+1 :poa
 
Hapo hapo na mimi naomba niulize swali. Kwani huwezi kumuona mwanaume/mwanamke siku ya kwanza na ukampenda?
 
Upendo siyo tamaa bali n msukumo wa dhati wa ndani usiohusudu, usiohesabu mabaya bali huvumilia hutakabari na kubwa kuliko yote huheshimu.

Tamaa huu ni msukumo wa ndani unaosababishwa na mapenzi ya kitu fulani, tamaa inahusudu, inahesabu mabaya, haivumilii na tena haitakabari. mara zote tamaa ni mbaya sana na mtu hujaribiwa na tamaa zake mwenyewe. panapo tamaa hakuna upendo.
 
Hapo hapo na mimi naomba niulize swali. Kwani huwezi kumuona mwanaume/mwanamke siku ya kwanza na ukampenda?

Mi nadhan siku ya kwanza ni tamaa iliyochanganya na imagination ya kwamba nikiwa na huyu mtu maisha yangu yatakuwa hivi then baada ya hapo ndo suala la kupenda litafuatia..
 
Mapenzi ni tamaa, na mapenzi haya ya tamaa ni yale ya kishetani(yanayofanywa kwa kukiuka maagizo ya mwenyezi Mungu). Katika maandiko matakatifu tunasoma, "kwa maana wale waufuatao mwili huyafikiri mambo ya mwili; bali wale waifuatao roho huyafikiri mambo ya roho. Kwa kuwa nia ya mwili ni mauti; bali nia ya roho ni uzima na amani. Kwa kuwa ile nia ya mwili ni uadui juu ya Mungu, kwa maana haitii sheria ya Mungu, wala haiwezi kuitii. Wale waufuatao mwili hawawezi kumpendeza Mungu".
 
Back
Top Bottom