Mapenzi ni sawa na umeme wa Tanesco

kinyangesi

JF-Expert Member
Jul 15, 2012
247
85
Mapenzi ya Kibongo sawa na umeme wa Tanesco. Muda wowote yanakatika, unatakiwa uwe na Kijenereta kidogo pembeni, ukifanya Bwiii.

Na wewe unawasha mwaaaah.
 
Mapenzi ya Kibongo sawa na umeme wa Tanesco. Muda wowote yanakatika, unatakiwa uwe na Kijenereta kidogo pembeni, ukifanya Bwiii.

Na wewe unawasha mwaaaah.

hivi kwanini mapenzi ya kibongo yanaonewa kiasi hiki? bongo kuna mapenzi ya kweli tena ya staha, waulizeni waliokimbilia kudate nje ya bongo watawaambieni, wengi walichemka...!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom