kinyangesi
JF-Expert Member
- Jul 15, 2012
- 247
- 85
Mapenzi ya Kibongo sawa na umeme wa Tanesco. Muda wowote yanakatika, unatakiwa uwe na Kijenereta kidogo pembeni, ukifanya Bwiii.
Na wewe unawasha mwaaaah.
Na wewe unawasha mwaaaah.
sio kijenereta tu, bali pia kisola power , taa ya kichina, kibatari, mshumaa na koroboi ya emergence si unajua kajenera kanaweza ishiwa mafuta pia
cc Evelyn Salt Vaislay Kaizer Eiyer.....

Mi sijaelewa ....
Hebu nieleweshe mtoa mada anasema nini hapa?
anasema kwamba michepuko ni unkwepabo kibongo bongo....
Mapenzi ya Kibongo sawa na umeme wa Tanesco. Muda wowote yanakatika, unatakiwa uwe na Kijenereta kidogo pembeni, ukifanya Bwiii.
Na wewe unawasha mwaaaah.
Napita sichangii chochote....