Mapenzi ni matamu na tena ni shubiri kivipi?

shalomK

Member
Nov 26, 2012
6
1
Napenda tuanze na swali hili ili tuweze kujenga msingi wa
kile tunacho taka kukiongelea hapa.Mara nyingi mahusiano na mapenzi yanakua mazuri sana mwanzoni,…
Lakini baada ya mda flani,mahausiano hayo hayo yanageuka na kua kama shubiri baina ya wawili walio kua
wanapendana sana hapo mwanzo,sababu ni zipi?
Tuta fanya nini ili mahusiano yasivunjike hovyo kama tunavo ona sasa?
wapo wanao lilia kuingia katika uwanja wa mapenzi na wapo pia wanao lia ndani ya uwanja wa mapenzi,…
Tuwa saidie vipi wale wanaotaka kuingia katika mapenzi ili wayajue vyema na watambue wanaingia katika
ulimwengu gani,na wale walioko kwenye mapenzi/mahusiano tayari watambue umuhimu wake?
karibuni wadau kwa michango yenu….
 
Sio lazima kuwa baada ya mda mapenzi yanakuwa machungu... Mi nadhani yanakuwa machungu kama kwa bahati mbaya utaanza na mtu ambaye hammach... Tatizo lililopo ni kujua kama unaeanza nae mnamach...
 
Ndugu yangu ingekuwa vizuri kuwashauri wale wanao anza mahusiano yakuwa wachumba, siyo wale wanaotaka kuanza kuingia kwenye uwanja wa mapenzi.
 
Ndugu yangu ingekuwa vizuri kuwashauri wale wanao anza mahusiano yakuwa wachumba, siyo wale wanaotaka kuanza kuingia kwenye uwanja wa mapenzi.

mie naonn kwanza kabisa watu waingie kwebye mapenzi wakiwa wamepevuka kiakili na hivyo watakuwa tayari kumudu mambo ya mapenzi.
pili tupunguze tamaa ya ngono. kuvunjika kwa mahusiano mengi utokana na wanaume kuwa walishapata walichokitaka na hivyo kuanza kusaka K nyingine.
wanawake nao wabane miguu yao mpaka pale utakapo kiwa mke. hii itasaidia sana.
 
2dayz people are in physical figure en not inside/true Love from da heart thus y soon they use da figure takes as normal
what followw.................. 50% urz 50% mine depart
Solution involve God in ur love aspects to get a true wife like me!
 
Back
Top Bottom