Mapenzi Ni Kama Ligi Ya Mbuzi Striker Anaweza Potea....Wengi WanaCHEAT na kuwaudhi Wachache Wanaoplay Fair

Nabii kibonge

JF-Expert Member
Mar 15, 2018
277
308
Nowdays tunakosa vitu vingi toka industry sanaa in general.Tunakosa songs ambazo zinareflect our reality, zinareflect real life situations Like mentioned one hapo juu

The song imekamilika kuanzia lyrics beat na hata chorus yake.Infact Fid jamaa ni Jini huyu .. inaelezea situation ambayo inawakuta watu wengi ni utunzi wa aina yake kiukweli. The song is about 3 years now lakini ukisikiliza ni kama imetoka jana..Nyimbo za hivi zinaishi

Nowdays utasikia Amber lulu kunja dela utasikia timua vumbi na bado utasikia chuchuma kama choo cha mabua wakibadilika utasikia mambo ya kurogana..eti wenzako wanakuroga___ shame on u msanii mkubwa unakuwa kama kibabu cha nachingwea kutwa kulalamika uchawi

Hamna hardfeeling songs tena, hamna nyimbo za kutuinspire wapuuz wanadanganyan kuhus views za youtube na kupost nudes IG

Let us mention cool songs to listen from industry

1.Fid q Roho
2.Ay Safari







Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom