Mapenzi na nyimbo

mama yu

Senior Member
Apr 24, 2012
143
42
Habari wanajopo.Hebu tukumbushane nyimbo ambazo tunazikumbuka tulipokutana n wapenzi wetu.Mimi nakumbuka nyimbo za Shania Twain.Yaani wee a cha tu.
 
Am into you na price tag zinanikumbusha siku tamu sana nilizokuwaga na bebi...
 
Mimi kelele wanazopigaga ni nyimbo tosha mandingooo ooouups yaaalaaah tamuuuu k..maeee usitoeee...
 
Mimi daima na milele nitakuwa nawe maisha yangu yote wa marlow,huwa nakumbuka mengi sana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom