mapenzi na ndumba

Hii kitu ipo jamani cz kwenye nyumba tuliyopanga kuna wapangaji wenzetu mamlaka ya baba anayo mama,mwanaume anafanya kila kitu hadi zamu za kudeki chooni tunaye..mkewe ni mzima haumwi hafanyi kazi ye ni full pombe akilala nje tatu sawa tu,akienda club kujirusha mwanaume ye ndani tu hatoki na mkewe akirudi anagonga mlango anafunguliwa kama kawaida na kuulizwa mbona chakula cha leo kibaya baba nanii.Smtms huwa anatoa kauli mbaya nimekwambia nguo hujafua unanitania au niende safari zangu za Tanga kukurekebisha,so ni vitu ambavyo vipo kwenye jamii na tunaviona.
WANAUME MSIACHE KUOMBA MNAPOTAFUTA MKE AU MCHUMBA ANAE KUPENDA HAWEZI KUKUFANYA HIVYO.

eeeeeeehe kumekucha!!!!!ndoa ndoana,kapatikana huyo!
 
Tatizo ni makundi na sinema za ki-nigeria. Hata wanawake wasio na wasiwasi na waume zao wanashauriwa waende kwa mganga "kuimarisha" ndoa. Ndio mazungumzo ya salon nyingi.

sinema za kinigeria ,hahahahah,zipigwe marufuku,au?
 
ishu sio kuamini,ishu ni kinamama wanafanya ama hawafanyi!

ukisema kinamama hawafanyi au wanafanya, thats too general...its completely unfair' coz kunawengine ambao wanaamini mganga ni Yesu kristo, and believe me huko hatupewi sjui malimbwata sjui manini we just believe in him na it works... Labda hao wanaotembea na waume za watu, na believe me once mwanamke kaamua kutembea na mume wa mtu tayari hajastaarabika she can do anything (swal je ni wanawake wote wanatembea na waume za watu?) jibu unalo.
 
Mimi huwa naokotaga kipande cha jiwe barabarani naiweka mfuko wa nyuma wakati naenda kwa hawara ndiyo kiboko ya wachawi. Au saa zingine nageuza chupi nyuma mbele!

hii kiboko,yaani unajua huko uendako kuna uwezekano wa kulishwa limbwata Mkuu bado unaenda tu ka chatu na mwanambuzi?
 
ukisema kinamama hawafanyi au wanafanya, thats too general...its completely unfair' coz kunawengine ambao wanaamini mganga ni Yesu kristo, and believe me huko hatupewi sjui malimbwata sjui manini we just believe in him na it works... Labda hao wanaotembea na waume za watu, na believe me once mwanamke kaamua kutembea na mume wa mtu tayari hajastaarabika she can do anything (swal je ni wanawake wote wanatembea na waume za watu?) jibu unalo.

sina ubishi na hoja yako Mama Stan,ila huku uswaz mitaani kwetu mmmmhhhh kila kukicha ndo tungo.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom