mapenzi na ndumba

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
10,050
Yaani ukisikia stori za kinamama wanavyokwenda kwa Kalumanzila utachoka kabisa.Kusema kweli kinababa sijui huwa tunalishwa uchafu kiasi gani.Wengine nasikia wanawapikia waume zao kwa maji yanayoosha maiti mochware,wengine nasikia wanachukua vipande vya nyama wanavisokomeza kusikotamkika kisha wanawakaangizia waume zao,ili mradi ni waganga kutaka kuzidiana ufundi. Jamani jamani uuuuuuwwwwiiiii,huko kwa mahawara ndo usiseme,ndo hakufai kabisa maana hawara ndo anakuwa anahangaika umsahau mkeo.Inachosha kabisa!
 
mwe mwe mwe mwe, uuuuuuuuuuuuuwwwwwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! naenda kumpa talaka mke wangu!
 
zamani kweli kinamama wengi walipigwa talaka kwa kubambwa na ndumba,siku hizi imekuwa so common watu wanaishia kujibishana maneno tu.
 
mwanamke anayetumia ndumba ni yule asiyojua mapenzi haswaa,mapenzi sio lazima kitandani tu,au mapishi jikoni ,,kauli tamu na yenye mahaba ndiyo funguo ya mapenzi sasa ukienda kwa kalumanzila umloge bwana kauli huna,mapenzi kitandani zero,mapishi kwishney unatarajia nini,,,,wanawake tubadilike na kujifunza ujuzi wa aina mbalimbali ili leo usitafute mchawi,,au kalumaznila mchawi wewe mwenyewe....lol
 
Tataizo wengi wao huwa mbele za watu huwaonyesha na kujipamba na attitude kama hii unayoonyesha hapa lakini nyuma ya pazia mmh........sijui kwa nini wanawake hawajiamini!

Yupo kibinti kimenipitisha njia moja mara tatu.Kinakwenda Tandika huko na kimepeleka nguo zangu kwa mganga yaani sina hamu.Hivi visister doo mmmmmmmhhhhh hata kuviona sitamani
 
Yaani ukisikia stori za kinamama wanavyokwenda kwa Kalumanzila utachoka kabisa.Kusema kweli kinababa sijui huwa tunalishwa uchafu kiasi gani.Wengine nasikia wanawapikia waume zao kwa maji yanayoosha maiti mochware,wengine nasikia wanachukua vipande vya nyama wanavisokomeza kusikotamkika kisha wanawakaangizia waume zao,ili mradi ni waganga kutaka kuzidiana ufundi. Jamani jamani uuuuuuwwwwiiiii,huko kwa mahawara ndo usiseme,ndo hakufai kabisa maana hawara ndo anakuwa anahangaika umsahau mkeo.Inachosha kabisa!
Hakuna dawa ya mapenzi duniani jamani, wamama/mabint wanjanja na wanaojua kutumia usanii wa mapenzi cku zote waume/wapenzi wao hawanaga ujanja kbs,kazi yao ni kumsikiliza yf/gf anasemaje na kutekeleza wala hawakumbuki cha hawara wala kimada,polen wenye mahawara mtalishwa mpaka mavi kwa stail hiyo!
 
maji ya maiti?...Bishanga, hii ni hadithi ama?
Nyamayao unaishi nchi hii Bongo,nenda uswazi upate story za huko kisha utarudi unambie.
By the way hata wa masaki,mbezi , mikocheni etc wanafanya haya madudu tena kwa sana tu.
 
mi niliposikia ile damu ya hedhi nayo tunawekewa kwenye chakula ili tushikwe..
nilibaki hoooi......ukienda kwa waganga wa jadi unakuta asilimia 80 ya wateja ni wanawake......
na kuna sharti la mganga kuondoa mkosi kwa kumtafuna huyo mwanamke......bur kabisaaa na pesa mganga analipwa..

huwa sometimes nafikiria nianzishe ofisi ya tiba za jadi lol
niwaondoe kina mama mikosi lol
halafu wanilipe lol
 
mwanamke anayetumia ndumba ni yule asiyojua mapenzi haswaa,mapenzi sio lazima kitandani tu,au mapishi jikoni ,,kauli tamu na yenye mahaba ndiyo funguo ya mapenzi sasa ukienda kwa kalumanzila umloge bwana kauli huna,mapenzi kitandani zero,mapishi kwishney unatarajia nini,,,,wanawake tubadilike na kujifunza ujuzi wa aina mbalimbali ili leo usitafute mchawi,,au kalumaznila mchawi wewe mwenyewe....lol

well said Jam!
 
Hakuna dawa ya mapenzi duniani jamani, wamama/mabint wanjanja na wanaojua kutumia usanii wa mapenzi cku zote waume/wapenzi wao hawanaga ujanja kbs,kazi yao ni kumsikiliza yf/gf anasemaje na kutekeleza wala hawakumbuki cha hawara wala kimada,polen wenye mahawara mtalishwa mpaka mavi kwa stail hiyo![/QUOTE]

mmh na kweli
 
Tataizo wengi wao huwa mbele za watu huwaonyesha na kujipamba na attitude kama hii unayoonyesha hapa lakini nyuma ya pazia mmh........sijui kwa nini wanawake hawajiamini!

Mkuu Laigwanan,tatizo jingine la kinamama ni makundi,anatokea mmoja anawambia wenzie 'si mnaona siku hizi baba bishanga hakai tena bar nimemzibiti' , 'kivipi' anaulizwa ,' ah yuko babu mbagala charambe,hatari huyo' baada ya hapo haooooo kwa babu mbagala,na hela yote ya mboga inaishia huko.Kumbe masikini Bishanga kajichokea na mipombe ya kila siku au kipato kimepungua au kisukari kimeanza.
 
Yupo kibinti kimenipitisha njia moja mara tatu.Kinakwenda Tandika huko na kimepeleka nguo zangu kwa mganga yaani sina hamu.Hivi visister doo mmmmmmmhhhhh hata kuviona sitamani

Giddy umejuaje?
 
Hakuna dawa ya mapenzi duniani jamani, wamama/mabint wanjanja na wanaojua kutumia usanii wa mapenzi cku zote waume/wapenzi wao hawanaga ujanja kbs,kazi yao ni kumsikiliza yf/gf anasemaje na kutekeleza wala hawakumbuki cha hawara wala kimada,polen wenye mahawara mtalishwa mpaka mavi kwa stail hiyo!

sasa ndo hata hutuonei huruma watoto wa mwanamke mwenzio?
 
mi niliposikia ile damu ya hedhi nayo tunawekewa kwenye chakula ili tushikwe..
nilibaki hoooi......ukienda kwa waganga wa jadi unakuta asilimia 80 ya wateja ni wanawake......
na kuna sharti la mganga kuondoa mkosi kwa kumtafuna huyo mwanamke......bur kabisaaa na pesa mganga analipwa..

huwa sometimes nafikiria nianzishe ofisi ya tiba za jadi lol
niwaondoe kina mama mikosi lol
halafu wanilipe lol
Brother thank God huo uchafu wanaupika kabla ya kuwalisha waume/mabwana zao,sasa we fikiria damu ya hedhi inachanganywa na nyama,tena wanachagua ile tamu kama ya nundu,na inasemekana mme/bwana siku hiyo ndo unasifia ile mbaya.Wengine hupata bahati ma house girl wakawashtua mababa wasile na hapo ndo timbwili huwa linafumuka.
 
Back
Top Bottom