Mapenzi na mahusiano ya Vyuoni

Hadithia tu hata zile za vichakani..!
Ukimaliza unavaa harakaharaka baadae ukija kuvua kwenye Pichu unakuta majani mpk ya kisamvu..😂
Hapo unasema the show was amazing..😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimecheka kifala sana
 
Wakuu...

Kwa wale ambao tumesoma hadi ngazi za vyuo (diploma, certificate, Degree n.k), kwa namna moja au nyingine, baadhi tulipata kuingia kwenye mahusiano ya kimapenzi.

Mimi nilipoanza first year tu pale chuo cha mlimani, nioikutana na mtoto mmoja wa kichaga ktk registration, tukajenga urafiki na kuzunguka wote chuo kipindi chote cha orientation, na tulipopata boom la kwanza nikamwomba nimtoe out akakubali. Tulivyokua dinner nikamwaga verse akakubali na siku ile nikala tunda.

Aliendelea kuwa mpenzi wangu hadi mwaka wa tatu alipovishwa pete ya uchumba na jamaa flan wa in service ambaye alikua keshatoa posa kabla ya kuja chuo. Tuliachana baada ya tukio hilo.

Nitaelezea mahusiano yangu mengine mengi huko chini.

Je ulipokua chuoni ulikua na mahusiano ya kimapenzi na mwanachuo mwenzako? Uhusiano ulidumu? Mlipomaliza chuo uliendelea nae?
Nilipokuwa chuo mwaka wa kwanza nilikuwa bado nina mapenzi mazito na binti nilomuacha kitaa enzi hizo....kuingia mwaka wa pili ndo nikaanza kuoa oa hapo chuoni....karibia kila semester nilikuwa naishi na demu mpya gheto kwangu....mabinti wa Diploma na certificate wanapenda sana mteremko chuo wakijua uko unasoma Bachelor.... Tulikuwa tunabadilishana sana mademu na masela yaaani...mpaka nawaza binti yangu itakuwaje akienda chuo dah
 
mkuu unawaza kama mimi bt akishafika chuo huyo kashakua hata wamchakate sawa tu.
 
Nilipokuwa chuo mwaka wa kwanza nilikuwa bado nina mapenzi mazito na binti nilomuacha kitaa enzi hizo....kuingia mwaka wa pili ndo nikaanza kuoa oa hapo chuoni....karibia kila semester nilikuwa naishi na demu mpya gheto kwangu....mabinti wa Diploma na certificate wanapenda sana mteremko chuo wakijua uko unasoma Bachelor.... Tulikuwa tunabadilishana sana mademu na masela yaaani...mpaka nawaza binti yangu itakuwaje akienda chuo dah
Malipo hapa hapa duniani nyoko wee..Binti yako tunamsubiri kwa hamu:D
 
Back
Top Bottom