Mapenzi na mahusiano ya Vyuoni

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
3,030
3,323
Wakuu.

Kwa wale ambao tumesoma hadi ngazi za vyuo (diploma, certificate, Degree n.k), kwa namna moja au nyingine, baadhi tulipata kuingia kwenye mahusiano ya kimapenzi.

Mimi nilipoanza first year tu pale chuo cha mlimani, nioikutana na mtoto mmoja wa kichaga ktk registration, tukajenga urafiki na kuzunguka wote chuo kipindi chote cha orientation, na tulipopata boom la kwanza nikamwomba nimtoe out akakubali. Tulivyokua dinner nikamwaga verse akakubali na siku ile nikala tunda.

Aliendelea kuwa mpenzi wangu hadi mwaka wa tatu alipovishwa pete ya uchumba na jamaa flan wa in service ambaye alikua keshatoa posa kabla ya kuja chuo. Tuliachana baada ya tukio hilo.

Nitaelezea mahusiano yangu mengine mengi huko chini.

Je, ulipokua chuoni ulikua na mahusiano ya kimapenzi na mwanachuo mwenzako? Uhusiano ulidumu? Mlipomaliza chuo uliendelea nae?
 
Nakumbuka kwa kipindi Cha miaka mitatu first degree niliowa Kama Mara nne hivi. Hii ni kwa mujibu wa ile definition kwamba demu ukipika na kupakua nae kwa mudaa wa miezi mitatu mfululizo basi ni mkeo.

Hao wanne nawakumbuka, Kuna wale wengine niliokuwa nakamata kamata pembeni, hususani wakati ndoa zangu zilipokuwa zimevunjika. Nikikumbuka najiona nilikuwa mzembe Sana kuendekeza ngono.
 
Back
Top Bottom