Mapenzi na jino kipi kinauma Zaidi?

Zamani kiwa mdogo wa miaka 3hivi tulikuwa tunaulizana, kati ya radio na betrii ni kipi muhimu zaidi? Pamoja na kuwa wengi walifikiri ni radio ila kiuhalisia kwa enzi zile vyote vilikuwa na umuhimu sawa kwani hapakuwa na mbadala wa betrii.
Jibu la swali lako ni kuwa vyote vinauma sana ila kila kimoja kwa aspect yake hivyo hakuja jibu moja lilio sahihi kwani inategemea mawazo ya mtu binafsi
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom