MAPENZI na JINO kipi kina uma Zaidi!!!??


Mndengestani

Mndengestani

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2016
Messages
601
Points
1,000
Mndengestani

Mndengestani

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2016
601 1,000
Wana jf jana nikiwa pande za Beach na madada nikawasikia wanasema eti MAPENZI yanauma sasa kila nikifikilia sipati jibu.
Haya mapenzi yanauma vp !!!!
Kwakua nilishawai kuumwa jino basi haraka nikafananisha kama maumivu ya JINO.sasa sijui kati ya JINO na MAPENZI kipi kinauma zaidi naombe saana kwa anayejua
 
SK2016

SK2016

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2017
Messages
4,756
Points
2,000
SK2016

SK2016

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2017
4,756 2,000
Jino linauma mbayaaa ila likipata dawa au liking'olewa vizuri maumivu yanatokomea kabisa. Lakini maumivu ya mapenzi hata ukiyapatia suluhisho bado yataendelea kukutesa. Maumivu hayo huisha polepole mno na usipopata replacement yake ya ukweli, utaendelea kuumia.
Ni hayo tu.
 
Shadrack K. Lwila

Shadrack K. Lwila

Verified Member
Joined
Jul 17, 2016
Messages
4,450
Points
2,000
Age
21
Shadrack K. Lwila

Shadrack K. Lwila

Verified Member
Joined Jul 17, 2016
4,450 2,000
we sikia tu kwa mtu jino balaaa unaweza ukahisi unakufwaazz
 
shangwe1

shangwe1

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2017
Messages
348
Points
250
Age
30
shangwe1

shangwe1

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2017
348 250
Aisee achani masihara jino linauma bhanaaaa
 
Mwifwa

Mwifwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2017
Messages
31,484
Points
2,000
Age
19
Mwifwa

Mwifwa

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2017
31,484 2,000
Mkipata jibu mnitag.

Nipo kwenye foleni nataka nikang'olewe jino
 
B

bacoche

Member
Joined
Mar 4, 2017
Messages
85
Points
125
Age
44
B

bacoche

Member
Joined Mar 4, 2017
85 125
Jino liko ndani Ya mwili wako, lakini mapenzi yapo nnje ya mwili.
 
kijani11

kijani11

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2014
Messages
6,107
Points
2,000
kijani11

kijani11

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2014
6,107 2,000
si kila aliyepata maumivu ya jino umeumizwa/jeruhiwa na mapenzi na wengi wanaumizwa na mapenzi bila kukumbana na kadhia za meno.

Kikubwa vyote vinatibika na mtu huweza kuendelea na maisha yake hata akasahau maumivu aliyopata kukumbana nayo.
 
PROF NDUMILAKUWILI

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2016
Messages
8,349
Points
2,000
PROF NDUMILAKUWILI

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2016
8,349 2,000
Jino ni shida.
 
Thad

Thad

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2017
Messages
11,588
Points
2,000
Thad

Thad

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2017
11,588 2,000
Maumivu ya mapenzi hayana dawa..............kuna aliyewahi kujiua kwa ajili ya maumivu ya jino?
 
Utingo

Utingo

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Messages
7,267
Points
1,500
Utingo

Utingo

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2009
7,267 1,500
mapenzi yanahusiana na hisia. Negative imagination feelings huwezi kuzilinganisha na maumivu ya kiungo cha mwili.
 

Forum statistics

Threads 1,296,486
Members 498,655
Posts 31,249,902
Top