Mapenzi mimi basi

CHIPANJE

JF-Expert Member
May 1, 2011
321
53
Msichana wangu katoa mimba yangu ili aolewe na mtu mwingine aliyekubaliana naye.Nasikitika sana kwani nakumbuka binti aliambiwa na Daktari kua hawezi kushika mimba halafu kapata katoa.Na sasa hatuna uhusiano tena.
 
Pole,tatizo wanaume nyie wa siku iz kumpa mimba msichana afu hamuoi mnaona fashion sana,Acha tu mtendwe ila pole ndo experience izo maisha yanaendelea.
 
Msichana wangu katoa mimba yangu ili aolewe na mtu mwingine aliyekubaliana naye.Nasikitika sana kwani nakumbuka binti aliambiwa na Daktari kua hawezi kushika mimba halafu kapata katoa.Na sasa hatuna uhusiano tena.

pole ila inaonekana hukuwa na mpango naye ndo maana akaamua kufanya huo uamuz......afu kwa nini umtundike mimba kabla ya kumuoa?
 
duuu,pole sana.siku nyengine,kuwa makini zaidi na wasichana,na vile vile oa kwanza,kisha utafute mtoto
 
Tafuta dada umuoe halafu tafuta nae mtoto kama hutaendelea kuufurahia uumbaji wa Mungu milele yote
 
if you love something set if free,if it comes back it is yours if it doesnt,it was never yours.
sasa keshatoa ili aolewe na mwingine kwani mabinti wameisha?? Nenda pale mliman au UCLASS wako wa kumwaga tu
au hujui kuimba nyimbo za tenzi??
 
Msichana wangu katoa mimba yangu ili aolewe na mtu mwingine aliyekubaliana naye.Nasikitika sana kwani nakumbuka binti aliambiwa na Daktari kua hawezi kushika mimba halafu kapata katoa.Na sasa hatuna uhusiano tena.

. .duh imekaa kama utunzi flan hivi. .!

Kama n kwel, pole, mpotezee. .sali na usubir, utapata mwaminifu!
 
subiri utafute mtoto na mkeo siyo msichana wako,pole kijana siyo mwisho wa maisha
 
2b honest inauma sana bt jaribu kukubaliana na matokeo then move on coz good things are ahead of u not behind
 
haluuuuuuuuuuu
poleeeeeeeeeeee
kazanaaaaaaaaaa

Msichana wangu katoa mimba yangu ili aolewe na mtu mwingine aliyekubaliana naye.Nasikitika sana kwani nakumbuka binti aliambiwa na Daktari kua hawezi kushika mimba halafu kapata katoa.Na sasa hatuna uhusiano tena.
 
Huyo alikuwa hakupendi, bali alikuwa anatumia na wewe. Sasa shukuru Mungu amekuepushia hilo balaa. Tafuta anayekupenda kwa dhati. Halafu ule wimbo unaitwa kosa la Marehemu ulishausahau sasa mbona ulikuwa hutumiii co.......Haya, angalia huko kugawa mimba kwa wadada kutakuja kukugharimu maisha!!
 
unadhani kwa kuwa kashika mimba basi unaweza kumletea longo longo? kaa pembeni wenye nia ya kuoa waendelee kwa raha zao!
 
Kaka usililie mwanamke hata siku moja, huwa hawajui wanataka nini au wanamtaka nani siku zote.
 
Back
Top Bottom