Mapenzi magumu

ALLEX

JF-Expert Member
Mar 15, 2011
2,006
343
msipende kuchuna wenzenu bila kutoa uroda yata kupata haya..

Hii imetokea kwenye chuo kimoja huko nigeria

acid-woman.jpg
 
maskini ya Mungu..
Huyu atakuwa kaungua moto..
Pole yake kwa kweli..dahhhh
 
Mtoa sired hana ushahidi kwamba huyu ni mapenzi ndiyo yaliyomsababishia madhara haya, bali ameamua tu kubuni heading.
 
Mtoa sired hana ushahidi kwamba huyu ni mapenzi ndiyo yaliyomsababishia madhara haya, bali ameamua tu kubuni heading.

Yeye kasema hivyo, wewe unataka aseme kulingana na akili yako! Kama ni kweli hilo liwe funzo kwa wanao waita wafadhili wao mabuzi. Vasco da Gamba alikwisha sema "ukitaka kula cha mwenzio nawewe ukubali kuliwa"
 
Mtoa sired hana ushahidi kwamba huyu ni mapenzi ndiyo yaliyomsababishia madhara haya, bali ameamua tu kubuni heading.

ngoja nirudi nikutafuti ushahidi tena ni denti wa chuo huko nigeria
 
Du huu ni ukatili uliopitiliza; kama kakunyima kwa nini uishie huku? Baada ya kumfanyia hili uanjisikiaje moyoni? ukijaaliwa watoto wa kike mungu lazima kaulipizie hapa!
 
Back
Top Bottom