Mapenzi kunoga kipindi cha baridi ni tatizo! Shtuka!

Kuna siku nikamuuliza naona hanipendi na ninamsumbua wala simchukulii kama mwanaume wangu ila bado ananing'aninia au kaambiwa na mganga wake mimi ndio sababu ya yeye kupata hela akaishia kucheka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo hapo pia Inawezekana ukawa una bahati sana kwake lakini Kama ningekuwa mimi ningekutengeneza tu ungekuwa kila kitu ndiyo bila kupinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda anatageti yake ukipata anachokitaka hatakuwa nawe labda anataka alale nawe tu baadaye aanze kukusema au kukuletea dharau kama ulizokuwa unamleta au anataka umpe L yako akuoneshe uwanaume wake akishakupagawisha ndyo ww uanze kumsumbua iyoo ipo sana au unavipesa anataka toka kwako
Kuungusha sidhani kama sikuuangusha enzi hizo sasa hivi sidhani...
Ila simuelewi tu naona hanipendi ila kuniganda vipi sasa...

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
May be kajipulizia...afu mtaalamu kaded tayari.
Kuna mwanaume kila nikitafuta sababu ya kwanini ananipenda siioni. Namjibu ninavyojisikia. Hata akisema nisifanye kitu nafanya. Lakini haishi kunitafuta na kuniambia ananipenda. Hata nikumuacha haelewi atapiga simu atatuma message mpaka achanganyikiwe. Nimeshamwambia mimi na yeye hatuwezani hanielewi.
Nilimwambia tuachane akasema hilo jambo halipo labda niwe sipo Duniani. Kila ninavyomuona naona kabisa hana mapenzi hayo ila ameniganda ruba ina afadhali. Halafu Bora hata ningekua najinyenyekeza ila namletea jeuri ya hela yote. Sijui jeuri yangu ndio inamturn on au la.
Kweli mpaka nimeuliza watu huyu mwanaume anachonipendea ni nini hawaelewi.


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda anatageti yake ukipata anachokitaka hatakuwa nawe labda anataka alale nawe tu baadaye aanze kukusema au kukuletea dharau kama ulizokuwa unamleta au anataka umpe L yako akuoneshe uwanaume wake akishakupagawisha ndyo ww uanze kumsumbua iyoo ipo sana au unavipesa anataka toka kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
Kulala na mimi wala sio issue kwake tulishalala tayari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom