Mapenzi haya yakuviziana mimi hapana kwa sababu ujui kama anakupendwa wewe au!!!...

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,596
Miaka 2-3 iliyopita kulikuwa na mdada mzuri sana katika pitapita yangu nikawa nimejikwaa kwake baada ya kumwambia kilichoni nisababisha nijikwae akasema pole lakini hapa hata panadol sina ni bora uende zako mbele ukatizame sehemu zingine maana hapa nakupa pole!!Namimi kwa kinyongo nikaondoka siku zikasonga na salamu zakila siku nikawa natoa nikafika maali nikahisi kuchoka nakujikomba!...Juzi kati nikasikia ujumbe kutoka kwa bidada habari za siku....ni mimi shositito nasikia umepatwa na makubwa nikamuitikia ndiyo kama ulivyo sikia!...akaendelea kutiririka mimi nipo ila ukisikia unahitaji shirika (Company)karibu nipo najua kwa kipindi hiki ndo unataka shirika (Company)kuliko wakati wowote ule basi nikamwambia hakuna shaka mimi nipo na mimi shirika lako nalihitaji kweli!nikaanza kuvuta hisia za kipindi kile nikaona wapi haziji lakini yeye anakuja tunatoka lakini hisia sina kama kipindi kile nilicho muhitaji ajabu akawa yupo tayari kunimegea tunda na mimi kuona Tunda............anyway siku moja nikajiuliza inakuwaje leo anajifanya yupo karibu na mimi??Pili kwakipindi kili aliniambia ana Boyfriend wake leo anasema wameachana!

Swali amekuja kwangu kwakuwa hana Boyfriend??
Je ni kwakuwa mimi sina mwenza anaoma huu ndo wakati na yeye wakujimilikisha??
Kweli huyu ni mtu wakuwa naye au nikula Tunda na kuchapa lapa?
 
Huoni mara ya kwanza aliogopa kuaniana? Kila siku mnasema humu, 'mume wa mtu sumu'

Watu wakiwakataa kwa kuheshimu ndoa zenu iwe nongwa tena??

Yaani huoni anataka umuoe? Akchwali hata mahari keshajilipia, wewe tu na roho yako

tuna majaribu mabaya dunia hii.....ukikubali unaambiwa gubegube.......sijui twende wapi yahilah....
 
Wakati unamtokea ulikuwa umeshaoa??

Kama ulikuwa na mke wakati unamtokea alikuwa sahihi kukukatalia...! ( Aliogopa kunasana) Lol

Saivi anaona kuna free orbital ndio maana anataka aka i fill..! Sijaona kosa la huyo bi dada..!
 
anyway kaka kwa sababu na wewe ulikuwa unampenda ndo amekukubalia sasa. sema mtu ukishamtaka sana ukajipendekeza weeee akawa hajali na kibaya zaidi anakuwa kama anakudharau hivi siku na ukakata tamaa siku akija kuanza kurudi na kasi ya ajabu unakuwa huna hata hamu zaidi unaanza kumfanyia the same way aliyokufanyia wewe
 
cheaters utawajua tu.
so wewe uliona haki ukubaliwe uku ulikuwa na mke. shame on you
 
kama yupo serious na wewe una uhitaji na unamuona anafaa kuwa wako wa kuzikana mpe nafasi..... wakati ule alikuwa anaiheshimu ndoa yako kaka!!!!
 
Huyu si ndio alifiwa na mkewe hapa juzi juzi tu??

Tayari umeshapata sustitute???Mbona kama mapema mkuu!!

Niko tayari kukosolewa!!!:target:
 
Back
Top Bottom