KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,578
- 8,600
Miaka 2-3 iliyopita kulikuwa na mdada mzuri sana katika pitapita yangu nikawa nimejikwaa kwake baada ya kumwambia kilichoni nisababisha nijikwae akasema pole lakini hapa hata panadol sina ni bora uende zako mbele ukatizame sehemu zingine maana hapa nakupa pole!!Namimi kwa kinyongo nikaondoka siku zikasonga na salamu zakila siku nikawa natoa nikafika maali nikahisi kuchoka nakujikomba!...Juzi kati nikasikia ujumbe kutoka kwa bidada habari za siku....ni mimi shositito nasikia umepatwa na makubwa nikamuitikia ndiyo kama ulivyo sikia!...akaendelea kutiririka mimi nipo ila ukisikia unahitaji shirika (Company)karibu nipo najua kwa kipindi hiki ndo unataka shirika (Company)kuliko wakati wowote ule basi nikamwambia hakuna shaka mimi nipo na mimi shirika lako nalihitaji kweli!nikaanza kuvuta hisia za kipindi kile nikaona wapi haziji lakini yeye anakuja tunatoka lakini hisia sina kama kipindi kile nilicho muhitaji ajabu akawa yupo tayari kunimegea tunda na mimi kuona Tunda............anyway siku moja nikajiuliza inakuwaje leo anajifanya yupo karibu na mimi??Pili kwakipindi kili aliniambia ana Boyfriend wake leo anasema wameachana!
Swali amekuja kwangu kwakuwa hana Boyfriend??
Je ni kwakuwa mimi sina mwenza anaoma huu ndo wakati na yeye wakujimilikisha??
Kweli huyu ni mtu wakuwa naye au nikula Tunda na kuchapa lapa?
Swali amekuja kwangu kwakuwa hana Boyfriend??
Je ni kwakuwa mimi sina mwenza anaoma huu ndo wakati na yeye wakujimilikisha??
Kweli huyu ni mtu wakuwa naye au nikula Tunda na kuchapa lapa?