hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,622
- 63,117
🤣🤣🤣🤣🤣Kichwa cha habari: penzi la muendesha bajaji lazama katikati ya mafuriko ya jangwani.
🤣🤣🤣🤣🤣Kichwa cha habari: penzi la muendesha bajaji lazama katikati ya mafuriko ya jangwani.
SijaelewaSiku zote natamani sana sana nchi yetu ingekua na vitengo vya wanasihi, sio kila kitu kinahitaji polisi na kutumia nguvu. Mfaano mzuri ni huyu kijana ambaye kwa majibu wake ni kwamba Baba mkwe kavunja ndoa yake iliyodumu tangu 2012-2021. Miaka Tisa ya mahusiano si michache.
Katika kutafuta relief ameprint ujumbe wake na kuuweka kwenye bajaj, mke kaenda kutoa report polisi. Dogo kaitwa, katoka hapo kapost status, huyu anahitaji psychological support kuliko vitisho, anapitia kipindi kigumu sana.
Sasa polisi wanamtisha huyu kijana wakati wao kidogo tu yaani Polisi akigundua tu kuwa anagongewa anakimbilia silaha...huyu kijjana afanyiwe Counselling kuliko vitisho. Tutampoteza na Ryan atabaki yatima
Unapomtendea mtu jambo jema au baya,tegemea na kubali matokeo yake,Yes hajataja ila ni kijana hana adabu mkuu na yeye ndio ana kosa sijawahi ona mtu anagombana na baba mkwe, aeleze two sides of the same coin, wamegombana why aanze kumzalilisha kwa watu, na ku post status, while watu huwa tunagombana huwa hatupostiani mitandaoni