Mapenzi bwana mkia wa paka

prianka

JF-Expert Member
Aug 29, 2012
684
168
Inakuaje umeanza mahusiano na mnawiki moja mwenzi wako anakwambia anataka mzigo je hapa kunamapenzi ya kweli au kufanya mapenzi ndo kigezo cha upendo wa dhati naombeni kujua wadau
 
Sasa kama hutaku basi mruhusu awe na mwingine wa kumpa k
na wewe utakuwa unampa story tu.....

Ukishaamua kuuza samaki,usiogope shombo....
 
(HUU USHAURI NAUTOA KIMACHALE MACHALE MANAKE BISHOP/PAROKO AKINIONA NI SOOO!!!!!!) Sasaaaa UTAPIKAJE CHAKULA USITIE CHUMVI!!!!!!!!!!! Kama ujuavyo CHUMVI MKUBWA WA JIKO!!!!!!!!!!!

Kwani LENGO LA MAPENZI HASA NI NINI? NINI MWISHO WAKE WA KUSEAL THE DEAL?

Yours is not that SPECIAL you know if you think critically!!!!!! We ukibana wenzio wanaachia!!!!! @ SOKO HURIA HILI (Samahani Lakini Mambo ya Walimwengu!!!!!)
 
Ni nini lengo la mapenzi yenu? ni kutaka kufika hadi ndoa au ni mapenzi ya mvua za masika....
Kama nia yenu ni ndoa, basi hakikisha hilo kojoleo lako unalitunza tena chapia hadi "chupingi"
 
yaani hapo sio mke wa ndoa anataka utoe dozi mara 3 kwa siku haya cku ukikabidhiwa uwanja kamili si ndo atakukimbia na kukwambia lisha kua shimo anataka kilicho kinonon wakati huo amesahau kua yeye ndo alikua anaingiza nakutoa hata kama lengo ni kupeana tunda lkn sio kiivyo ccRALA1,THE BOSS mnataka kuniambia nyie izo dozi mnagawa hivyo wakati hata hujui kama ndio atakua au sio
 
(HUU USHAURI NAUTOA KIMACHALE MACHALE MANAKE BISHOP/PAROKO AKINIONA NI SOOO!!!!!!) Sasaaaa UTAPIKAJE CHAKULA USITIE CHUMVI!!!!!!!!!!! Kama ujuavyo CHUMVI MKUBWA WA JIKO!!!!!!!!!!!

Kwani LENGO LA MAPENZI HASA NI NINI? NINI MWISHO WAKE WA KUSEAL THE DEAL?

Yours is not that SPECIAL you know if you think critically!!!!!! We ukibana wenzio wanaachia!!!!! @ SOKO HURIA HILI (Samahani Lakini Mambo ya Walimwengu!!!!!)

Hakuna tabu kubana
mbane vyoote sasa k na kuchuna...
sio k inabaniwa na mtu kuchunwa anachunwa....
na kupigwa marufuku kutongoza wengine juu ....
Only ma zombie ndo wanaweza hiyo...
 
WATU8 me naona ni ya kuingiza na kusepa mwenzangu alafu ndo anataka kma dozi ya maralia loo
 
Inakuaje umeanza mahusiano na mnawiki moja mwenzi wako anakwambia anataka mzigo je hapa kunamapenzi ya kweli au kufanya mapenzi ndo kigezo cha upendo wa dhati naombeni kujua wadau

Mpe bana acha uvivu
 
Nionavyo mimi kama mmekutana na mnataka kuwa na mahusiano ya kudumu hata kama ni ya wapenzi wa muda mrefu (japo hapo ndoa majaliwa) ni lazima angalao wote mjipe muda wa kusomana tabia kidogo ili mdidhike kama kweli mnaweza kukuza mahusiano. Ukiona jamaa siku ya kwanza ya pili tu anataka uvue chupi huyo ni wa mashaka sana!!! Kaa naye mbali mchunguze!!! Na kama lengo lake lilikuwa ni kuvua tu chupi yako basi utaona atasepa haraka sana!!! But kama ni wa serious fulani atakuvumilia hadi mfikie makubaliano!!! Mahusiano yoyote bila makubaliano kati yenu ni magumu sana kuyaendesha!! Kwa hiyo mleta mada nashauri acha kutoa hiyo tumbaku hadi uhakikishe jamaa anataka kuvuta sigara kiukweli na si kuonja tu!!
 
WE THE BOSS kuchunwa ndio anachunwa na kutongoza anakatazwa na k ananyimwa pia lkn hii mwenzangu hapana ndani ya wiki m2 anataka mzigo kutwa mara 3 haiwezekan mwenzangu wakati kitu bado kibichi antaka kufanya korongo looo
 
Sasa kama hutaku basi mruhusu awe na mwingine wa kumpa k
na wewe utakuwa unampa story tu.....

Ukishaamua kuuza samaki,usiogope shombo....
rafiki, kumbuka hao wana wiki tu, ndo maana kaja kulalamika.
kwa sisi wadada wiki ni muda mfupi sana rafiki. hata huyo mkaka naona ana ujasiri sana, wiki tu?
 
rafiki, kumbuka hao wana wiki tu, ndo maana kaja kulalamika.
kwa sisi wadada wiki ni muda mfupi sana rafiki. hata huyo mkaka naona ana ujasiri sana, wiki tu?

Kwa mdada decent ni kweli wiki mapema sana
but na hao decent huwa hawachuni wala kujaribu kum control mwanaume

Wadada wa mjini unaweza sema mapema sana huku wenzio wanapishana hapo
na wewe unachunwa tu
 
Watu wanatuchuza tu humu ndani, ukipitia baadhi ya posts za nyuma utaona wanadai..'mbona wanawake wa siku hizi warahisi hivi, mtu wiki moja tu keshatoa mzigo!'.......

Jipimie mwenyewe muda muafaka mwaya, kama haikupangwa awe wa kudumu, atasepa tu whether amepata or not...
 
Kwa mdada decent ni kweli wiki mapema sana
but na hao decent huwa hawachuni wala kujaribu kum control mwanaume

Wadada wa mjini unaweza sema mapema sana huku wenzio wanapishana hapo
na wewe unachunwa tu
sikuzijua hizo categories rafiki, mimi nilichukulia mdada ni mdada tu, ndo maana nikaku-alert.
haya basi wenye uzoefu wao wa kuchuna/kuchunwa/kupangwa foleni/......... watatuambia hayo
 
Sasa kama hutaku basi mruhusu awe na mwingine wa kumpa k
na wewe utakuwa unampa story tu.....

Ukishaamua kuuza samaki,usiogope shombo....

Muulize boss kama anakuwa anamwavuli ambao haukunjuki na kumsitiri mtu na jua au mvua utakuwa unamfaa????

Upo sahihi kabisa.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom