Mapenzi bana Yaache kama Yalivyo!

Mkweli77

JF-Expert Member
Jul 26, 2013
1,458
1,119
Yaani MATATIZO YANGU Ya Mahusiano ni sawa tu na Diamond. Kwasababu mpaka sasa sijui hataa NIMPENDE NANI coz hapa nilipo usinione hivi kwani mwenzako NALIA NA MENGI yaani nimevurugwa hadi
NATAKA KULEWA naona hiyo ndyo njia ya kuondoa
MAWAZO kwani hapo ndipo nitakuwa nimeutuliza MOYO WANGU Mungu akipenda wangu nitampata KESHO au kama hapo kwa jirani zako "UKIMWONA" yupo ambaye atayenifaa bac nakuomba nenda "KAMWAMBIE" na huyo ndiyo atakuwa
MY NUMBER ONE
 
Kama hiyo 77 kwenye username yako inauhusiano na mwaka wako wa kuzaliwa basi utakuwa unamatatizo makubwa.

Vinginevyo, ubunifu mzuri.
 
izi mambo nakumbuka form one wakati unaunganisha nyimbo zote katika album ya celine dion! But ulivoleta it aint funny at all. Sijuw wengine...so childish kind of!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom