Mkweli77
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,458
- 1,119
Yaani MATATIZO YANGU Ya Mahusiano ni sawa tu na Diamond. Kwasababu mpaka sasa sijui hataa NIMPENDE NANI coz hapa nilipo usinione hivi kwani mwenzako NALIA NA MENGI yaani nimevurugwa hadi
NATAKA KULEWA naona hiyo ndyo njia ya kuondoa
MAWAZO kwani hapo ndipo nitakuwa nimeutuliza MOYO WANGU Mungu akipenda wangu nitampata KESHO au kama hapo kwa jirani zako "UKIMWONA" yupo ambaye atayenifaa bac nakuomba nenda "KAMWAMBIE" na huyo ndiyo atakuwa
MY NUMBER ONE