Mapendekezo

Anthony Threedeyea

JF-Expert Member
May 29, 2013
471
47
Wananchi wa tanzania wangependa kuona uchaguzi mwaka 2015 kwa ngazi zote ubunge,udiwani na uraisi japo mgombea awe na degree iliyotolewa kwa vyuo hapa nchini au nje ya mipaka yetu


Hii itasaidia kuwapata viongozi shupavu na wenye msimamo ili kuendeleza taifa leo kuwa na viongozi kidato cha nne,darasa la saba na diploma ni shida itakayo gharimu taifa matokeo yake inaleta fujo na uvunjifu wa amani kutokana na ushabiki wa kitoto na maamuzi yasiyo ya msingi hawa matajiri wanaopotosha haki za wananchi nilishangazwa week iliyopita na habari diwani wa kata ya kisesa wilayani magu jijini mwanza kupigwa mawe mpaka kifo ...nadhani hakujua nini maana ya kiongozi anatakiwa kuwa vipi.


Nawasilisha.
 
ni kweli naunga hoja yako mkono. hawa failed wameonesha uzuzu wa kupitiliza na hawanamichango yoyote ya maana zaidi ya kuporomosha matusi.
nitafurahi sana kama hilo jambo litakuwepo kwenye katiba mpya. hatuhitaji mtu aliyetaga f4 aje aongoze. kama ilivyo kwenye mambo mengine pia na huku tunahitaji haya.
 
Back
Top Bottom