Mapendekezo yangu kwenye katiba mpya juu ya ahadi zisizotekelezeka za viongozi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapendekezo yangu kwenye katiba mpya juu ya ahadi zisizotekelezeka za viongozi

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by mwakabana, Jan 24, 2011.

 1. m

  mwakabana Member

  #1
  Jan 24, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  napendekeza tuweke sheria ili mtu anayegombea atoe ahadi anazoweza kutekeleza alafu aandike na ale kiapo cha kutekeleza. Alafu iwe ka sheria ili asipotekeleza asiruhusiwe tena kugombea coz wat i see wengi wanatoa ahadi hewa na wen time comes to end wanarudi na kuwarubuni wapigakura then hii ikiwa sheria itasaidia kuondoa huu mzigo kwa wananchi. If we are serious hii ni bonge la trick ya kuwabana coz wamezidi kuudanganya uma pls take note find me on 0654864518
   
 2. Ngaramu

  Ngaramu JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2011
  Joined: May 7, 2009
  Messages: 383
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Good! Nakubaliana na wewe 100%
   
 3. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Ahadi hewa ni part ya politics.
   
 4. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #4
  Jan 25, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  yaani we unasubiri atudanganye wee mpaka uchaguzi mwingine? sema atimuliwe kwa maana ameshindwa kazi. Hatuwezi tena kusubiri mpaka gari lidumbukizwe mtaroni tuanze kuhangaika kulitoa kama sasa!! Ila umesema vema sana nakuunga mkono.
   
Loading...