Mapendekezo yangu kuhusiana na CAG kwa mamlaka husika.

Noel france

JF-Expert Member
Oct 8, 2012
1,019
804
Wanajukwaa habari za ijumaa kuu!
Dhumani langu lililo nifanya nishare nanyi ni kuhusu taasisi ya CAG.
Kiukweli kutokana na kazi nzuri inayoifanya katika kutimiza wajibu wake ambao kwa wingi kama watanzania,ninaimani tunafurahia kazi nzuri inayoifanya. Binafsi ninaumia sana ninapoona mambo mengi yanaibuliwa na CAG alafu ayafanyiwa kazi kama tunavyo his I na nakuina. Ushauri wangu kwa mamlaka husika ikawaongezea meno CAG ikiwezekana waweze kuwachukulia hatua taasisi yeyote ambayo imefanya vibaya na ikiwezekana kukamata viongozi wa taasisi husika.
Nawatakia ujumaa njema ya ijumaa kuu
.
 
Back
Top Bottom