victor kay
Member
- Sep 21, 2015
- 45
- 9
ana lolote mtoa post umeagizwa yalimshinda ya trl na tzr atayaweza ya uwaziri mkuu acheni unafki na issue ya mabehewa feki nani asiye jua
mbona tayari mkuu, upo dunia ya ngapi? mabehewa mabovu yalisharudishwa kwa mtengenezaji na hatua kwa wazembe zilichukiliwa.
mkuu, jenga tabia ya kujifunza, acha kuokoteza maneno vijiweni.
Sasa mahakama ya mafisadi ikiundwa na suala la mabehewa feki halijakuwa solved
itakuaje na huyu awe PM?
Jamani tuseme kweli na ukweli utatuweka huru. Kama kweli ccm wamedhamiria kuleta mabadiliko ya kweli pasipo kuangalia makunyanzi dr Mwakiembe atakuwa ndie chaguo bora kabisa kama la hayati Sokoine. Ccm ikitaka kura za wa Tz wote nakuimaliza ukawa na watoto wake. Dr Mwakiembe ndio sumu ya mwisho. Viongoz wa dini zote tumuombe Mungu Harrison Mwakiembe awe Waziri mkuu. Nasema maziwa yatatoka kwenye mabomba.
hapo nampa nafasi ndugai ama zungu...
Sishauri wala kumpigia ndogo ndogo mbunge wa Mwibara mhe. Kange Lugora, isipokuwa kwa mtazamo wangu naamini ana spidi ambazo zinaweza kuendana na spidi ya Rais JPM.
Kusema kweli Lugora naye ni mwamba ni vile hakuwahi kupata eneo la kuonyesha vitu vyake ila ni njemba ya viwango.
Njemba nyingine ilikuwa Agrey Mwanri ni kwa vile tu yeye ameishadondoka lakini alikuwa mtendaji mzuri sana.
Kumbuka usemi wa wahenga "KAMA UJAFA HUJAHUMBIKA" in other words binadamu mwenye akili timamu hawezi kumcheka/beza mwenye Ugonjwa, uwezi kutabiri ya kesho.Hahaaaaaaaa mpambe pambana uwaziri mkuu atausikia. Huyo mnafika hawezi. Akamalizie doz ya bone morrow asitufie hapa. Ngozi yenyewe imepukutika.??????
JF inadhalilishwa ,mleta Mnakasha inaonekana hajui ata vigezo vya waziri mkuu vikoje..ni haibu hii..inaonekana ata KATIBA hujawai isoma
Jamani tuseme kweli na ukweli utatuweka huru. Kama kweli ccm wamedhamiria kuleta mabadiliko ya kweli pasipo kuangalia makunyanzi dr Mwakiembe atakuwa ndie chaguo bora kabisa kama la hayati Sokoine. Ccm ikitaka kura za wa Tz wote nakuimaliza ukawa na watoto wake. Dr Mwakiembe ndio sumu ya mwisho. Viongoz wa dini zote tumuombe Mungu Harrison Mwakiembe awe Waziri mkuu. Nasema maziwa yatatoka kwenye mabomba.
Kwa mujibu wa katiba, Waziri Mkuu awe mbunge wa kuchaguliwa, Kinana hakugombea popote.
Mkuu Kinana hawezi akawa Waziri Mkuu kwakuwa sio mbunge, na hata akiteuliwa ubunge haqualify, uwaziri mkuu ni lazima uwe mbunge wa jimbo kupitia wananchi