Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

Wadau, amani iwe kwenu.

Bila shaka uchaguzi wa Rais umemalizika na Dr Magufuli ameibuka kuwa mshindi. Baada ya Tingatinga kutinga Ikulu, sasa napendekeza Waziri Mkuu awe Leonidas Gama, Mbunge wa Songea Mjini. Nampendekeza si tu kwa vile ni mbunge wangu hapa Songea, bali anakidhi vigezo vya Tanzania ya Magufuli. Wengine watakuwa michosho tu
Magufuli amepata kura nyingi kutokana na sifa yake binafsi ya utendaji.

Sasa na waziri mkuu anatakiwa mtu anayefahamika kiutendaji.

Huyo Gama wako abaki hukohuko kwenu.

Waziri mkuu ni Mwigulu Nchemba
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Bila shaka uchaguzi wa Rais umemalizika na Dr Magufuli ameibuka kuwa mshindi. Baada ya Tingatinga kutinga Ikulu, sasa napendekeza Waziri Mkuu awe Leonidas Gama, Mbunge wa Songea Mjini. Nampendekeza si tu kwa vile ni mbunge wangu hapa Songea, bali anakidhi vigezo vya Tanzania ya Magufuli. Wengine watakuwa michosho tu

Safi sana hilo litakuwa chaguo sahihi. Magufuli ahakikishe hamna mchaga kwenye serikali yake wasije kumhujumu
 
Magufuli amepata kura nyingi kutokana na sifa yake binafsi ya utendaji.

Sasa na waziri mkuu anatakiwa mtu anayefahamika kiutendaji.

Huyo Gama wako abaki hukohuko kwenu.

Waziri mkuu ni Mwigulu Nchemba

Teh teh teh Magamba mmeanza kuparuana sasa..
 
Mmesha anza kujipa vyeo alafu watanzania wanategemea hapa kazi tu kwa mtindo huu ccm ni ile ile hata aje Obama hawezi ibadili
 
Ni vizuri kuwe na baraza dogo lenye wizara zisizozidi 17. Lenye mawaziri Kama ifuatavyo:
Waziri Mkuu- Harrisson Mwakyembe
Waziri wa M/Nje na Ushirikiano wa Kimataifa- Asha-Rose
Waziri wa Ulinzi - Hussein Mwinyi
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii-
Waziri wa Habari na Mawasiliano- Prof. Mbarawa Makame
Waziri wa Kilimo, Mifugo na Ushirika-
Waziri wa Mambo ya Ndani-
Waziri wa Maji, Nishati na Madini- Prof. S. Muhongo (Awe na Manaibu 3)
Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa-
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia -
Waziri wa Ardhi, Maliasili, Utalii na Mazingira - W. Lukuvi
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora-
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Maendeleo ya Jamii-
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji-
Waziri wa Fedha, Mipango na Uchumi-
Waziri wa Kazi, Ajira na Vijana- Januari Makamba
Waziri wa Maendeleo ya Miundo Mbinu-
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano-

NB. Shughuli za michezo ziende Tamisemi na shughuli za Utamaduni ziende Maliasili. Shughuli za EAC zirudi Foreign
- nafasi ambazo hazina majina tupate sura mpya kabisa.
 
Lizaboni ndugu gama namjua vzur hamna lolote tena hakuna watu vilaza kama watu wa songea na ruvuma nzima. Toka ameondoka Gama mkubwa na kawawa hakuna kiongozi nchimbi bule komba ndio usiseme manyanya ndio kabsa bora jenista muhagama
 
Wewe Lizaboni nahisi una uchizi kabisa, maake sijui ni mahaba ya kujifanya haujui hata elimu ya huyo mbunge wako mpaka awe waziri mkuu, na haliwezi kutokea ungekuamshauri vizuri wa serikali yako ili angalau ahadi zenu kede kede mlizo ahidi ungempenekeza PRO.SOSPETER MUHONGO.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom