Magufuli amepata kura nyingi kutokana na sifa yake binafsi ya utendaji.Wadau, amani iwe kwenu.
Bila shaka uchaguzi wa Rais umemalizika na Dr Magufuli ameibuka kuwa mshindi. Baada ya Tingatinga kutinga Ikulu, sasa napendekeza Waziri Mkuu awe Leonidas Gama, Mbunge wa Songea Mjini. Nampendekeza si tu kwa vile ni mbunge wangu hapa Songea, bali anakidhi vigezo vya Tanzania ya Magufuli. Wengine watakuwa michosho tu
Hapana. Ni mngoni wa Songea
Wadau, amani iwe kwenu.
Bila shaka uchaguzi wa Rais umemalizika na Dr Magufuli ameibuka kuwa mshindi. Baada ya Tingatinga kutinga Ikulu, sasa napendekeza Waziri Mkuu awe Leonidas Gama, Mbunge wa Songea Mjini. Nampendekeza si tu kwa vile ni mbunge wangu hapa Songea, bali anakidhi vigezo vya Tanzania ya Magufuli. Wengine watakuwa michosho tu
Yes, Mwigulu sawa.Magufuli amepata kura nyingi kutokana na sifa yake binafsi ya utendaji.
Sasa na waziri mkuu anatakiwa mtu anayefahamika kiutendaji.
Huyo Gama wako abaki hukohuko kwenu.
Waziri mkuu ni Mwigulu Nchemba
Duh! Lukuvi mkurupukaji
Magufuli amepata kura nyingi kutokana na sifa yake binafsi ya utendaji.
Sasa na waziri mkuu anatakiwa mtu anayefahamika kiutendaji.
Huyo Gama wako abaki hukohuko kwenu.
Waziri mkuu ni Mwigulu Nchemba
Dr. Harrison Mwakyembe
Baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kumtangaza rais mteule wa awamu ya tano, nani unahisi atateuliwa na mheshimiwa John Pombe Magufuli kuwa Waziri Mkuu ?