Elections 2010 Mapendekezo ya tume ijayo ya uchaguzi

GeniusBrain

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
4,315
306
Tume ijayo ya uchaguzi inapendekezwa iwe na wajumbe wafuatao, ambapo majina yao yatawasilishwa kwa Mh. Rais kwa ajili ya uteuzi wa mwisho:

1. Dr Wilbroad Slaa ( Mwenyekiti)
2. F. Mbowe ( Makamu Mwenyekiti)
3. Z. Kabwe ( Mkurugenzi )
4. Shibuda ( Mjumbe )
5. Mpendazoe ( Mjumbe )
6. T. Lissu ( Mjumbe )
7. Ndesamburo ( Mjumbe)

Tume hii itaanza kazi mara moja baada ya Rais mpya kuapishwa.
 
Hili ni suala serious san asio mzaha kama unavyofikiri mkuu.
 
Tume ijayo ya uchaguzi inapendekezwa iwe na wajumbe wafuatao, ambapo majina yao yatawasilishwa kwa Mh. Rais kwa ajili ya uteuzi wa mwisho:

1. Dr Wilbroad Slaa ( Mwenyekiti)
2. F. Mbowe ( Makamu Mwenyekiti)
3. Z. Kabwe ( Mkurugenzi )
4. Shibuda ( Mjumbe )
5. Mpendazoe ( Mjumbe )
6. T. Lissu ( Mjumbe )
7. Ndesamburo ( Mjumbe)

Tume hii itaanza kazi mara moja baada ya Rais mpya kuapishwa.

Naamini umelenga kupata tume huru, hongera kwa utajiri wa kufikiri. nice comedy!
 
No Tume ya uchaguzi inatakiwa iwe na watu wafuatao:

1. Prof. Ibrahim Lipumba ( Mwenyekiti)
2. Abdulahaman Kinana ( Makamu Mwenyekiti)
3. Z. Kabwe ( Mkurugenzi )
4. Yusuf Makamba ( Mjumbe )
5. Dr.Wilbroad Slaa( Mjumbe )
6. James Mbatia ( Mjumbe )
7. Hamad Rashid( Mjumbe)
 
Back
Top Bottom