Mapendekezo ya tume ijayo ya uchaguzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapendekezo ya tume ijayo ya uchaguzi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by GeniusBrain, Nov 5, 2010.

 1. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #1
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Tume ijayo ya uchaguzi inapendekezwa iwe na wajumbe wafuatao, ambapo majina yao yatawasilishwa kwa Mh. Rais kwa ajili ya uteuzi wa mwisho:

  1. Dr Wilbroad Slaa ( Mwenyekiti)
  2. F. Mbowe ( Makamu Mwenyekiti)
  3. Z. Kabwe ( Mkurugenzi )
  4. Shibuda ( Mjumbe )
  5. Mpendazoe ( Mjumbe )
  6. T. Lissu ( Mjumbe )
  7. Ndesamburo ( Mjumbe)

  Tume hii itaanza kazi mara moja baada ya Rais mpya kuapishwa.
   
 2. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #2
  Nov 5, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Hili ni suala serious san asio mzaha kama unavyofikiri mkuu.
   
 3. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #3
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Si ndivyo mnavyotaka Tume iwe na wana CHADEMA tupu ndio iwe huru na ya haki
   
 4. m

  mzeewadriver Member

  #4
  Nov 5, 2010
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Naamini umelenga kupata tume huru, hongera kwa utajiri wa kufikiri. nice comedy!
   
 5. nickname

  nickname JF-Expert Member

  #5
  Nov 5, 2010
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 516
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  No Tume ya uchaguzi inatakiwa iwe na watu wafuatao:

  1. Prof. Ibrahim Lipumba ( Mwenyekiti)
  2. Abdulahaman Kinana ( Makamu Mwenyekiti)
  3. Z. Kabwe ( Mkurugenzi )
  4. Yusuf Makamba ( Mjumbe )
  5. Dr.Wilbroad Slaa( Mjumbe )
  6. James Mbatia ( Mjumbe )
  7. Hamad Rashid( Mjumbe)
   
Loading...