Kila mfanyakazi sio kila mtanzania.Almost Mpango ameongeza sh 51,000 kila Mtanzania.
Kuanzia mshahara wa sh ngp?Almost Mpango ameongeza sh 51,000 kila Mtanzania.
Sio kila mfanyakazi, ni wafanyakazi walioajiriwa tu.Kila mfanyakazi sio kila mtanzania.
Kwamfano kwa mtu anaepokea 990000 itakua imeongezeka ngap?
Sio kila mfanyakazi, ni wafanyakazi walioajiriwa tu.
Mimi pia nafanya kazi za kilimo ni mfanyakazi niliyejiajiri.
Wewe ni mkulima na maslahi yako yanasimamiwa na chama/usharika wa kilimo na ufugajiSio kila mfanyakazi, ni wafanyakazi walioajiriwa tu.
Mimi pia nafanya kazi za kilimo ni mfanyakazi niliyejiajiri.
Elfu tatu Mia tano(3,500Kwamfano kwa mtu anaepokea 990000 itakua imeongezeka ngap?
ukifungua, bonyeza edit halafu weka kiasi chako(basic)Mbona sehem ya kujaza haileti option ya namba kujaza?
Kama hii ni Basic Salary na hakuna allowance nyingine, na kama hii excel sheet ni official, huyu mtu atapata TZS. 46,150 zaidi kwenye net pay.Kwamfano kwa mtu anaepokea 990000 itakua imeongezeka ngap?
Siyo kila mfanyakazi anayelipwa zaidi ya shilingi 270,000Almost Mpango ameongeza sh 51,000 kila Mtanzania.
Jaza Yellow fields uone tofauti kati ya mshahara wako wa sasa na baada ya mapendekezo kutumika