Vipi ashaanza kutangaza?? si ndo saa tisa tena na nusu sasa
Kuna kila taarifa za uhakika kuwa mbio za kusaka ulaji wa wizara zinakamilika saa mbili na nusu kuanzia sasa. Wateule mlioenda mlingotini kuomba dua sasa tazameni juu mngojee kulia ama kucheka.