Mapendekezo ya muundo wa baraza la mawaziri - 2010-2015

Gazeti la Rai leo limelalamika ya kuwa fitna zimetawala katika uteuzi wa baraza la mawaziri................................

Baadhi ya fitna ilizozibainisha ni kuwa baadhi ya viongozi wamekuwa kwa makusudi mazima wakivujisha siri za uteuzi huo na huku wengine wakishinikiza kupewa nyadhifa za uwaziri wakati ni viongozi wadhaifu........................

Hizi habari siyo za kuzipuuza hata kidogo ....ieleweke gazeti la Rai lina sikio lake pale Ikulu na hivyo yaonyesha migawanyiko na mifarakano ya CCM inatokota ya kugombania vyeo.................ipo na inakolea.................................

Ingelikuwa ni Chadema imekumbwa na vurugu hizo ungeliyasikia magazeti ya CCM na serikali kama vile Uhuru, Habari leo, Daily News yakiona hicho ni kivuno cha kuuza magazeti..................................................

Nyufa hizi za kugombania vyeo ndani ya CCM ndizo baadaye zitaamua hatma ya Chama hiki kama kweli ni cha mkulima na mfanyakazi au watajwa hawa hutumiwa tu kama ni mtaji wa kisiasa......................
 
sasa hivi JK ana shida kubwa ya kupata mawaziri,
1) kuna shinikizo kutoka kwa Mafisadi kuwa lazima fulani awe waziri
2) CCM imeyumba na njia pekee ya kuufuata mpasuko ni ya kuwaweka wabunge wanaokubalika (Mwakyembe, Magufuli, Sitta) kwenye uwaziri japo JK na wengine (Mafisadi) hawataki
3) KWa miaka hii mitano iliyobakia CCMm lazima wafanya kazi kubwa ya kuinua maisha ya watanzania na hilo litafanyika ikiwa Serikali ikiwa na Mawaziri wachapa kazi, sasa uteuzi wa mawaziri unapaswa kuzingatia vigezo hivyo (kujituma na uadilifu)
 
Rai linamilikiwa na mafisadi. labda muirananayelimiki amekataliwa baadhi ya watu wake anaotaka wawe mawaziri ndio maana kupitia kipaza saiti chake Rai anaanza kupiga kelele kuhusu kuwepo kwa fitna kwenye uteuzi wa Mawaziri.
 
Mkwere kama hayupo stable atatuletea madudu tena safari hii. Akiwaweka hao wanaomshinikiza au kwa kutaka kumlipa fadhira mtu fulani nchi itaishia kutafunwu tu kwani hao jamaa watakuwa wanajitahidi kujihifadhia mifewza kwaajili ya uchaguzi wa 2015. Tutaendelea kuwa waombaji na pesa yote itaishia vinywani mwa hao jamaa zake. haya na tusubiri tuone itakavyokuwa.
 
Gazeti la Rai leo limelalamika ya kuwa fitna zimetawala katika uteuzi wa baraza la mawaziri................................

Baadhi ya fitna ilizozibainisha ni kuwa baadhi ya viongozi wamekuwa kwa makusudi mazima wakivujisha siri za uteuzi huo na huku wengine wakishinikiza kupewa nyadhifa za uwaziri wakati ni viongozi wadhaifu........................

Hizi habari siyo za kuzipuuza hata kidogo ....ieleweke gazeti la Rai lina sikio lake pale Ikulu na hivyo yaonyesha migawanyiko na mifarakano ya CCM inatokota ya kugombania vyeo.................ipo na inakolea.................................

Ingelikuwa ni Chadema imekumbwa na vurugu hizo ungeliyasikia magazeti ya CCM na serikali kama vile Uhuru, Habari leo, Daily News yakiona hicho ni kivuno cha kuuza magazeti..................................................

Nyufa hizi za kugombania vyeo ndani ya CCM ndizo baadaye zitaamua hatma ya Chama hiki kama kweli ni cha mkulima na mfanyakazi au watajwa hawa hutumiwa tu kama ni mtaji wa kisiasa......................

We would better stay without mawaziri kama tulivyo sasa. Msitegemee la maana kutoka kwa Mkwere...
 
JK amechagua mwenyewe kudharaulika,anazidiwa nguvu sana na mafisadi sasa ona mpaka wanaamua kutumia magazeti kumpa msukumo kufanya kile watakacho.Safari hii urais umekuwa wa ubia.
 
Haya ndo madhara makubwa ya kuingia ubia kwenye urais, atapangiwa mpaka wafagizi wa Ikulu
 
Gazeti la Rai leo limelalamika ya kuwa fitna zimetawala katika uteuzi wa baraza la mawaziri................................

Baadhi ya fitna ilizozibainisha ni kuwa baadhi ya viongozi wamekuwa kwa makusudi mazima wakivujisha siri za uteuzi huo na huku wengine wakishinikiza kupewa nyadhifa za uwaziri wakati ni viongozi wadhaifu........................

Hizi habari siyo za kuzipuuza hata kidogo ....ieleweke gazeti la Rai lina sikio lake pale Ikulu na hivyo yaonyesha migawanyiko na mifarakano ya CCM inatokota ya kugombania vyeo.................ipo na inakolea.................................

Ingelikuwa ni Chadema imekumbwa na vurugu hizo ungeliyasikia magazeti ya CCM na serikali kama vile Uhuru, Habari leo, Daily News yakiona hicho ni kivuno cha kuuza magazeti..................................................

Nyufa hizi za kugombania vyeo ndani ya CCM ndizo baadaye zitaamua hatma ya Chama hiki kama kweli ni cha mkulima na mfanyakazi au watajwa hawa hutumiwa tu kama ni mtaji wa kisiasa......................

Mzee wa propaganda umerudi. Weka article watu tujadili wenyewe instead of becoming our commentarian. Yaani unatuchambulia mtazamo wako as if we can't make our own minds. I know you are here fishing, but propaganda zako zimezidi. At least post the article then weka mbwembwe zako.
 
Kwa malalamiko haya kuandikwa na gazeti la RAI (owned by Rostam)... ni ishara kwamba JK kakataa kuyumbishwa na mafisadi... na sasa wanahaha kuweka chuki zao hadharani baada ya mipango yao kushindwa!!! Kama haya ni kweli basi JK atakuwa ameweza kuepuka ushawishi wa kipuuzi kutoka kwa mafisadi.... na hili ndilo tunalolitaka.... La sivyo taifa litaangamia kwa haraka sana... maana hawa jamaa(fisads) wanafanya mabo yao kwa maono ya miaka kadhaa mbele.... As of now, hakuna kitu muhimu kama kushikilia mustakabali wa siasa za nchi ili kujisafishia njia ya madaraka 2015!!!!!

Tunataka achague baraza la mawazri la watu waadilifu tu basi
 
Awamu hii itamuwia vigumu sana kupanga baraza la mawaziri sababu ana watu wengi sana wa kuwalipa fadhila pamoja na kuanguka kwa baadhi ya waliokuwa mawaziri wake wa kutegemewa.Tatizo ni kuwa wengi wao ni wachumia tumbo wanaojivicha rangi ya kijana kwa misingi ya kupata vyeo na madaraka na mwisho kujinufaisha binafsi.Tofauti ya ungwe hii na iliyopita ni kuwa inamlazimu kuteua watu makini watakaorudisha imani kwa wananchi iliyopotea la sivyo watapata wakati mgumu 2015 kupotea kwenye siasa za Tanzania.Uamuzi ni wake kufanya analoona ni sahihi kwa wakati huu
 
Duh, udhaifu huo, kwani rais ni nani? na ana ubia na mtu pale?

kwa style hii you can conclude that Tanzania has no president.

inakuwaje wamwendeshe hivyo bila hata chembe ya woga? it is because they know he knows nothing, he can do nothing to them and he (kikwete) knows nothing.
 
Duh, udhaifu huo, kwani rais ni nani? na ana ubia na mtu pale?

.
Huyu sii rais aliyetokana na kura za wananchi. Ni rais wa kuwekwa na kundi fulani ambalo lina haki ya kumlalamikia ikiwa hataki kuwasikiliza.
 
bara linachukua muda wa kama wiki moja hivi kwa sababu kabla mtu hajateuliwa lazima wafanya mazungumzo kukubaliana, kwani anaweza kumteua mtu juu kwa juu, then unatangaza anakutolea nje, inakua nishai sana. Ila amechelewa sana kwa shida ile ile mafisadi wanataka waweke watu wao wanamtandao kwa maslahi yao yale yale ya kuwania urais 2015 na kuficha uchafu na uozo walio nao. CCM si chama safi any more ndugu zangu.:bowl:
 
natamani bomu hili liripuke! hapo sasa ndo tutapata uhondo wakianza kudundana wao kwa wao...:cool:
 
Back
Top Bottom