Mapendekezo ya muundo wa baraza la mawaziri - 2010-2015

Kuna kila taarifa za uhakika kuwa mbio za kusaka ulaji wa wizara zinakamilika saa mbili na nusu kuanzia sasa. Wateule mlioenda mlingotini kuomba dua sasa tazameni juu mngojee kulia ama kucheka.

Du! huko ni Bagamoyo au sio!
 
Alibaba(JK) and 40 Thieves

baraza+la+mawaziri+wapya+tanzania+kikwete.JPG

Halafu wote WAZIMA. Kweli watu wa aina hii Mwenyezi Mungu hawahitaji!
 
Kuna kila taarifa za uhakika kuwa mbio za kusaka ulaji wa wizara zinakamilika saa mbili na nusu kuanzia sasa. Wateule mlioenda mlingotini kuomba dua sasa tazameni juu mngojee kulia ama kucheka.
tafadhali mkuu chanzo
 
tehe nuthin new guys! hatukumchagua lkn anatutawala na atatuletea hao hao mafisadi waendelee kuila keki ya taifa kiulaiiiiini.
 
Yes ndiyo mambo yetu lakini kodi zetu ni za kusafiria kwenda majuu wakirudi hakuna kitu INAUDHI sana.
 
Ha ha ha wizara zitakiwa 23 tu, kuna combine ya nguvu!!! Je hii ni kupunguza matumizi ya serikali au? Manaibu je??? Litapungua toka number 60s to 40s. Hebu tusubiri na huu mgawo wa umeme taarifa tusubiri magazeti.
 
Mheshimiwa Pinda anahojiwa sasa na TBC FM kuwa alijisikia baada ya kuchaguliwa kuwa PM na nini matarajio ya Watanzania toka kwake, anasisitiza kuwa changamoto kubwa ni kujaribu kutafuta mbinu za kuuondoa umasikini na anasisitiza serikali inatakiwa kulitambua jukumu hili
 
Hivi mpaka sasa hawana mbinu za kuondoa umaskini na wala serikali ya CCM bado halijalitambua hilo??? Sasa boss wake anapotoa ahadi ya hali bora kwa kila Mtanzania huwa anakuwa na maana gani??
 
Back
Top Bottom