The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,071
Memo kama ulivyoainisha hao nakubaliana na wewe kabisa utawala bora ndio jambo la msingi linalopashwa kufuatwa ili haya tunayoyajadili hapa yaweze kufanikiwa kufuatwaCCM ya leo inaweza kutoa power to the people? CCM hii ambayo inawaita wabunge wake kwenye kikao na kuwapiga mkwara kwamba jambo fulani na fulani lazima lipite??
the bigger picture.........kama wabunge in a way wanakuwa mali ya chama, je, CHADEMA nao hawatafanya the same thing??
Mkuu, issue hapa sio kuweka kifungu, issue ni principles za good governance zinafuatwa na serikali na kuheshimiwa na vyama?