Mapendekezo ya katiba mpya CUF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapendekezo ya katiba mpya CUF

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Geza Ulole, Dec 28, 2010.

 1. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,068
  Likes Received: 4,000
  Trophy Points: 280
  Je, kuna mtu ana copy ya draft constitution ya CUF aliyokabidhiwa katibu mkuu wizara ya sheria na katiba, Mr Oliver Mhaiki.

  Maana naskia ina mapendekezo kwenye vifungu 36 na ina vipengele 130 katika kurasa 88. Ningepanda kuisoma...

  BTW hongera kwa kujaribu kuandamana wana CUF
   
 2. e

  emma 26 Senior Member

  #2
  Dec 28, 2010
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwenye nayo atupe
   
 3. T

  The Informer Senior Member

  #3
  Dec 28, 2010
  Joined: Jun 14, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CUF wameitisha press conference kesho saa 5 asubuhi ofisini kwao Buguruni ambapo watagawa nakala za katiba hiyo mbadala kwa media.
   
 4. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,068
  Likes Received: 4,000
  Trophy Points: 280
  sasa hizo nakala na sisi tulio ng'ambo itakuwaje? hamna e-copy?
   
Loading...