Mikopo Chefuchefu
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 3,373
- 6,756
MAPENDEKEZO YA HATUA ZA KUCHUKUA ILI KUIMARISHA THAMANI YA SHILINGI
Utangulizi
Shilingi ya kitanzania, kama zilivyo sarafu nyingine iko prone to exposure. Hivyo hatua za mara kwa mara za kila aina huhitajika ili kulinda shilingi dhidi ya erosion of purchasing power!
To cut the long story short, Kuna hatua ambazo nchi inaweza kuchukua ili kuimarisha shilingi. Hatua hizo ni zile za muda mfupi na zile za muda mrefu.
Hatua za muda mfupi:
Serikali kupitia benki kuu inabidi iunde mfuko ujulikanao kama Currency Stabilization Fund.
Mfuko huu utakuwa na account mbili kama kawaida account ya Shilling na akaunti ya Dola.
Na kila akaunti itakuwa na pande mbili kama taratibu za kihasibu zinavyoelekeza. Yani upande wa Debit na upande wa Credit.
Baada ya hapo, serikali iazime pesa kutoka kwenye mabenki ya nje kwa utaratibu ufuatao:
Dola milioni mia tano with maturity of 6months at interest rate of 1-5%
Dola milioni mia tano with maturity of 12months at interest rate of 1-5%
Dola milioni mia tano with a maturity of 18months at an interest rate of 1-7%
Jumla Dola bilioni moja na nusu…
Pesa hizi zitakuwa credited kwenye Dollar account ya currency stabilization fund.
Serikali itauza pesa hizi na itazisambaza kwenye mabenki, Bureau de change na makampuni makubwa ambayo yanaruhusiwa kununua dola moja kwa moja kutoka BoT kwa bei ya Shilingi 2,100- 2,250.
Fedha hizi zitakazouzwa zitakuwa Debited kutoka kwenye account yetu ya Dola ya currency stabilization fund.
Serikali itakusanya fedha za Tsh kutokana na mauzo ambazo zitakuwa Credited kwenye akaunti yetu ya Tsh katika mfuko wetu wa currency stabilization fund.
Serikali itatunza pesa hizi kwa miezi kadhaa hadi hapo msimu ambapo korosho na mazao mengine yanayotuletea fedha za kigeni, (pia msimu wa watalii n.k) yatakuwa yamekwisha uzwa hivyo kutakua na supply kubwa ya dola.
Serikali itachukua Tsh kutoka kwenye account yetu ya Currency stabilization fund na kununua dola kwa bei isiyozidi Tsh 2,300.
Serikali itachukua dola ilizo nunua na kulipa deni la nje tulilokopa.
Serikali itafanya consolidation kujua kama tumepata faida au hasara. Kama faida imepatikana basi itaingia kwenye mfuko wa BoT. Kama hasara imepatikana itaandikwa kwenye vitabu kama Cost of economic stabilization (Not loss). Yeah ku manage uchumi kuna gharama zake. So kama serikali itabidi kugharamika kwa kutumia bilioni mia mbili au mia tatu, sio jambo baya. Uchumi ndio nchi. Na nchi ni uchumi…
Hatua hizi ni za haraka na inabidi zichukuliwe ndani ya wiki mbili ili kurejesha utulivu wa shilingi…
NB:
Mchoro ufuatao ni ufupisho wa maelezo ukitumia picha ya rejeta ya kupozea shilling.
Rejeta ni chombo kinachotumia maji kupoza mfumo utoao joto. Piga picha uko safarini mara unagundua gari inachemka kwa kuwa rejeta haina maji. Utafanyaje? Utagonga kwa jirani wa maeneo hayo kuomba maji. Jirani atakwambia haya maji siyauzi. Nakupa lita mbili za maji uweke kwenye rejeta yako. Ukirudi urudi na maji yangu lita mbili.
Utafurahi na kuchukua maji hayo na kuweka kwenye rejeta. Utapoza mfumo wako na kumaliza safari. Ukirudi hayo maji ya kwenye rejeta yatakuwa yametumika kidogo na huenda yatakuwa yamebaki kiasi cha lita moja na nusu.
Basi utachukua nusu lita kutoka kwenye chupa yako, utachanganya na ile lita moja na nusu na kumrudishia mwenyewe lita mbili.
Kwa hiyo wewe utakuwa umefanikisha safari yako lakini utakuwa umeingia gharama kidogo ya kuongezea maji kiasi cha nusu lita ili kurejesha lita mbili uliyopewa awali. Hiyo nusu lita nyingine itakuwa imepotelea hewani kwa njia ya mvuke (volatility)…