Mapendekezo: Rais awe mmoja wa Muungano, bara na visiwani watoke makamu wa rais tu!

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,867
Napendekeza aqepo rais mmoja wa Muungano na awe na makamu wawili wa marais mmoja atoke bara na mwingine atoke visuwani. Na rais wa muungano awe anatoka sehemu yoyote ya muungano.

Nawasilisha
 
Hii mkuu si ndio ilishindikana?

To move the world we must first move ourselves - Socrates
 
Rais awe mmoja wa muungano na makamu wake, zenji kuwe na waziri mkuu, tanganyika pia kuwe na waziri mkuu, mchezo unaisha!

wanasiasa wanakomalia ili wawe na political posts kibao bila kuangalia kipato cha nchi
 
Muungano wenyewe una mambo 7 tu ya kushughulikia na its likely yakapunguzwa. Hii ina maana kiongozi mkuu (Whatever jina atakaloitwa) na kiongozi wa Zanzibar watakua na majukumu mengi mengi zaidi. Hivyo rais wa muungano atakuwa bwanyenye tu, kazi yake itakua kukata utepe tu.

My take.
Tuwe na serekali mbili tu ya Tanganyika na Zanziba. Tutakutana kwenye shirikisho la africa mashariki maana tumeshafika katika hatua nzuri na muda si mrefu mambo haya 7 yatashughulikiwa na shirikisho la east africa
 
Kwa kuongezea ni kujipatia umaarufu na kukusanya mali kwa kupitia muungano, tuachwe tupumue tukutane EAC
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom