Mapendekezo:Nashauri CHADEMA watangaze 2nd List of Shame. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapendekezo:Nashauri CHADEMA watangaze 2nd List of Shame.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TEMILUGODA, Aug 20, 2012.

 1. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #1
  Aug 20, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Wana board,mimi binafsi napendekeza chadema wawatangaze mafisadi 27 as second list of shame.Ninashauri list hii ikatangazwe jimbo la Mlalo mara tu M4C itakapotua Mkoa wa Tanga.Naomba tuliboreshe wazo hili.HAKUNA KULA,HAKUNA KUNYWA NA HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE.
   
 2. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #2
  Aug 20, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  Mabwepande should also be given a possibility of happening, then what next!
   
 3. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #3
  Aug 20, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  2List watakuwepo fisadi anaekuja kasi na mwenye sound January Makamba,LAZARO NYALANDU, Ezekiel Maige,WILIAM MGANGA...itaendelea next post
   
 4. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #4
  Aug 20, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  freeman mbowe, zitto kabwe, slaa, nao wawemo.
   
 5. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #5
  Aug 20, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  hi we vipi mwehu nini? Katangazeni ya kwenu halafu mwone muitikio,realy there is no natural love to ccm without external force to the concern like you.CCM HAINA WANACHAMA WA VIJINI AMBAO NI CREATIVE,WENGI NI MANDYAKIKI.
   
 6. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #6
  Aug 20, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,746
  Likes Received: 12,826
  Trophy Points: 280
  Eid mubarak mkigoma!
   
 7. u

  ureni JF-Expert Member

  #7
  Aug 20, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,272
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  List ya kwanza umeshaifanyia kazi?
   
 8. r

  rodrick alexander JF-Expert Member

  #8
  Aug 20, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 4,109
  Likes Received: 1,499
  Trophy Points: 280
  Ni kweli inabidi watangaze list mpya kwani hii tuliyonayo kila mtu anajua.Sikubaliani na kauli ya Zitto kuishia kuitishia serikali itangaze au wao watatangaza.Kazi ya vyama vya upinzani ni kuonyesha mapungufu ya chama kilichopo madarakani hivyo kama cdm wanayo list ya viongozi walioficha pesa wawataje ili kila mwananchi aone mapungufu yaliyopo.
  Najua baada ya kutangaza wapo watakaoishia kutishia kwenda mahakamani lakini wengi hawawezi kwani huko ndio wataumbuka
  Zaidi ya hayo nitaichukulia kauli ya zitto kama ya kujikosha kisiasa baada ya kutuhumiwa kula rushwa au utakuwa mchezo wake wa kawaida kupiga mkwara na baadae kwenda kupoozwa[kumbuka issue ya Barick na Tanesco]
  Lakini sikubaliani na sehemu unayopendekeza majina yatajwe inatakiwa yatajwe hapa Dar es salaam ili dunia nzima wasikie,balozi zilizopo,nchi wahisani bila kumsahau Nape Nauye,Pinda na Hosea
   
 9. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #9
  Aug 20, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 556
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mbona listi iliyotangazwa mara ya mwisho Chadema imeshindwa kuisimamia ifanyiwe kazi kwa maslah ya watanzania hasa watanganyika wenzangu.
   
 10. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #10
  Aug 20, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Kwa asiye na macho au kumbukumbu anaweza asione kiwango ambacho 1st list of shame ilifanyiwa kazi,na isitoshe baada ya kukamata dola 2015 speed ya kumalizia mafisadi papa itakamilika.
   
Loading...