Mapendekezo: Jiji la Dar liundiwe wizara maalumu

Asenga wa Pakaya

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
260
0
tupo wadau wengi ambao tumekuwa tukipendekeza mkoa wa DSM, kutokana na changamoto zake upewe wizara yake maalum itakayokuwa na bajeti na maamuzi yake ili kuweza kukabiliana na changamoto za jiji hili linalokuwa kwa kasi sana.

ama kwa hakika bila kufanya hivyo bado tutaendelea kuona mitaro ikivujisha vinyesi barabarani na kukosekana kwa parking Dsm,HASA KATIKATI YA MJI

MTAKUBALIANA NAMI KUWA ILALA AMBAYO NDIO DSM YENYEWE ,tangu imeenza kuongozwa na kijana mdogo ambae ndie meya, kwa kweli sasa ina unafuu sana katika parking kupendeza kwa round about na ata uvujaji wa maji machafu ijapokuwa tatizo bado lipo kwa kiasi.

sasa mtu hawezi kuwa na gari lake na akaliparki ovyo tu pale kkoo,atakamatwa na kutozwa faini.
na kila usiku tumekuwa tukiyaona magari ya kisasa ya kuzoa taka yakifanya kazi take kusafisha jiji

ili kumsadidia kijana huyu kwanini rais Kikwete asisikilize maono yetu na kuiundia Dsm wizara maalumu???"

natamani kuona wizara maalum ya mkoa wa DSM
 
Attachments

 • JER.jpg
  File size
  7.8 KB
  Views
  230
 • JER2.jpg
  File size
  8 KB
  Views
  217

kilombero yetu

JF-Expert Member
May 6, 2011
1,004
1,195
Nakubaliana sana na jerry,nikijana mdogo kwa umbo lakini anamawazo mazuri na akili nyingi sana ama kwa hakika anafikiri vizuri sana na ccm wakitumia akili zake ataisaidia sana tanzania
 
Peter Dafi

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
376
250
ni kijana mdogo anaewapa ,matumaini vijana wenzake,asante rais kikwete kwa kuwaamini vijana
 
KOMBAJR

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
5,829
1,195
Nakubaliana sana na jerry,nikijana mdogo kwa umbo lakini anamawazo mazuri na akili nyingi sana ama kwa hakika anafikiri vizuri sana na ccm wakitumia akili zake ataisaidia sana tanzania

Kilombero yetu= Asenga wa pakaya kwa nini usiwaachie wengine watoe yao?

Kulekea Xmass hizo buk 7*3 balaaaaah!
 
Lokissa

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
7,444
2,000
labda akawe waziri wa kule Rombo kwenu Assenga
katiba haijabadilishwa iko vile vile
dar ni mkoa mdogo sana kulinganisha na mingine
huyu bwana mdogo hana huo uzoefu wa kuwa waziri
diwani na meya atakuwaje waziri?
 
samilakadunda

JF-Expert Member
Oct 13, 2011
1,780
1,500
tupo wadau wengi ambao tumekuwa tukipendekeza mkoa wa DSM, kutokana na changamoto zake upewe wizara yake maalum itakayokuwa na bajeti na maamuzi yake ili kuweza kukabiliana na changamoto za jiji hili linalokuwa kwa kasi sana.

ama kwa hakika bila kufanya hivyo bado tutaendelea kuona mitaro ikivujisha vinyesi barabarani na kukosekana kwa parking Dsm,HASA KATIKATI YA MJI

MTAKUBALIANA NAMI KUWA ILALA AMBAYO NDIO DSM YENYEWE ,tangu imeenza kuongozwa na kijana mdogo ambae ndie meya, kwa kweli sasa ina unafuu sana katika parking kupendeza kwa round about na ata uvujaji wa maji machafu ijapokuwa tatizo bado lipo kwa kiasi.

sasa mtu hawezi kuwa na gari lake na akaliparki ovyo tu pale kkoo,atakamatwa na kutozwa faini.
na kila usiku tumekuwa tukiyaona magari ya kisasa ya kuzoa taka yakifanya kazi take kusafisha jiji

ili kumsadidia kijana huyu kwanini rais Kikwete asisikilize maono yetu na kuiundia Dsm wizara maalumu???"

natamani kuona wizara maalum ya mkoa wa DSM

hakika unamahaba ya dhati na kijana.
 
Peter Dafi

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
376
250
labda akawe waziri wa kule Rombo kwenu Assenga
katiba haijabadilishwa iko vile vile
dar ni mkoa mdogo sana kulinganisha na mingine
huyu bwana mdogo hana huo uzoefu wa kuwa waziri
diwani na meya atakuwaje waziri?
diwan hawezi kuwa waziri?????? ahaaa kwani rais kabakiza nafasi ngapi?
 
sexologist

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
2,284
1,195
This is another idiot idea and proposal.. no correlation btn tha heading and the content..

to comment upon 'light' content.. ni kwamba hatuhitaji tena wizara ziongezwe na 'vijana' vichwa panzi.. tusifanye serikali hii ni mali ya mtu!

Kuhusu Jerry Silaa hana uwezo wa kuongoza wizara.. Ilala yenyewe imemshinda! Swala dogo tu la machinga complex limemshinda!
 
Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,958
2,000
Du! Ni kampeni ya mchna kweupe.
Anyway kuhusu changamoto za Dsm zinawezekana kabisa kutatulika bila ya kuwa na wizara yake.
Kinachotakiwa ni viongozi wa jiji wawe commited na waache ufisadi na uzembe.
Mfano uuzwaji wa kifisadi wa UDA nao ulihitaji kuwe na wizara maalumu!
 
Daddo

JF-Expert Member
Jan 17, 2013
1,411
2,000
Wadau mnifungue macho. Mimi sioni kama neno tetesi lilifaa kutumika kwenye huu uzi.
 
Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Aug 9, 2007
18,693
2,000
Hhahah! so kila mji/mtaa ukiwa mkubwa tu na kuwa jiji unaundiwa Wizara ?
hadi 2050 tutakuwa na wizara ya Tandale, sinza, tmk, kimara nakuendela.
 
fikirikwanza

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
7,449
2,000
Mtatuchosha,mara wizara ni nyingi mara dar wizara?? mwanza je??? hapa cha msingi rais afanye kazi sio kuzurula, PM afanye kazi sio kulia lia, Mawaziri na RC wawajibike, DC afutwe kabisaaaaaa
 
KOMBAJR

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
5,829
1,195
Asenga: Hivi wakati wa Charles Keenja na Alfred Fuko DSM ilikuwa na Wizara? au bado ulikuwa Illovo?
 
Zion Daughter

JF-Expert Member
Jul 9, 2009
8,927
2,000
Wakati tunalalamika Serikali ya Tz ni kubwa sana wengine mnataka mizigo iongezeke.Hizi wizara zinapaswa kupungua na Dsm Inawezekana kuwa nzuri kama waliopo kwenye madaraka wataamua kuwa wawajibikaji na sio kujimbikizia mali
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom