Hizi Hostel mpya kabisa za chuo zinazojengwa napendekeza ziwe chini ya umiliki wa TBA ili ziweze kupokea wanafunzi wenye uhitaji kutoka vyuo vyote.
Mwanafunzi wa muhas ifm cbe dit au udsm anaweza ishi hapo ilimradi atimize vigezo.
Mapato yatakayopatikana yatumike kujenga hostel kama hizo katika vyuo vingine vya umma na binafsi.