Kwani
JF-Expert Member
- Jan 12, 2016
- 455
- 562
kutokana na jina hili kuwa maarufu TANZANIA,ni jepesi kulitamka hata watoto wadogo wamelishika haraka na kulitamka kama BASITE licha ya hivyo ni neno lenye tafsida linalobeba maana nyingi mfano:ki.laza,mpumbavu,mjinga,mpuuzi haya maneno ujumla wao kuwa bashite itakuwa ni jambo zuri.
Pia jambo hili litakuwa zuri kwani neno hili chimbuko lake liko hai hivyo wanafunzi watajifunza kwa mafano hai.
RAI:Baraza la kiswahili Tanzania(BAKITA) chondechonde naomba mfikrie hili jambo kwa umakini wala halina hata chembe ya siasa ndani yake
Pia jambo hili litapunguza ukali wa maneno kwa viongozi wetu
mfano:kiongozi anapotaka kusema "wanafunzi wanaosoma UDOM special diploma wengi wao ni vi.laza"
hii itapendeza kiongozi akisema"wanafunzi wanaosoma special diploma UDOM wengi wa ni kinaBASHITE"