Mapeli wanaotumia nafasi za kazi kuibia watanzania

James Hungury

JF-Expert Member
Jun 8, 2013
825
612
Wana jf nawapenda wote
Nataka nilete hii thready kwenu iwe msaada na tusaidiane,
Kumekuwepo na matapeli wengi sana wanaibia watu kwa njia mbalimbali,na mmoja wapo ni ale wanaotumia suala la ajira kuibia watanzania maskini wanaotafuta ajira ili kufanikisha malengo yao.

Hawa jamaa wameumizi sana yawezakuwa hata wewe mdau washakuliza, sijui kwa staili gani ila kila mmoja anayakwake.

Mimi nataka ni waleter huyu jamaa hapa,amekuwa akitumia kutangaza nafasi za kazi katika magroup mbalimbali ya whatsapp,facebook na hata wakati mwingine kwenye mitandao ya kazi huchukua details za mtu na kumpigia na kumwamvia kuna nafasi za kazi na hivyo kinachofuta anatakiwa atume kias fulan cha pesa ili kufanikish apate kazi


Hili suala tusichekane maana wengine hupewa taarifa hizo waliwa na matatzo chungu nzima na upokeaji hutpfautina kulingana na mazingira ya huyu tapeli atakavyoingia.

Tuweni makini sana tena san,kashaniliza mimi,na wengine wengi na nimefungua thread hii ili kama wapo na wengine basi tuwataje wote kila mara ili watanzania wengine na wana jf wawafaham,
Huyu jamaa hupenda kutuma .Assage hii
...........

Tangazo tangazo la kazi hotel wanahitajika wafanyakazi wa hotel mpya tunazifungua kunduchi na kigamboni hotel zinaitwa valley view kwa watu wa mikoani maradhi yapo yanapatikana na kwa wafanyakazi wa dar es salaam usafiri unapatikana (staffbus) nafasi zilizopo ni madereva cashier secretary barman reception laundry kitchen porter garden dishwasher.

Security supervisor housekeeper service kwa mawasiliano piga namba 0782712499. 0716816275 whatsapp 062566137.
Kuweni nae makini sana na anaweza badirisha njia au mbinu hivyo tuwe
Nawasilisha
 
Watanzania wanaoendelea kuibiwa kwa njia hii ya kutuma pesa ili kushiriki interview ni uzembe wao, hakuna kazi unayoomba ukaambiwa uchangie gharama za usaili.
Hili linajulikana lakini kuna watu bado wanaibiwa hivi huo sio uzembe jamani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom