joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,613
- Thread starter
- #21
Wewe una matatizo sio bure, total revenue collection ya nchi yenu ni 1.6trl, na bajeti yenu ni 3trl, deficit ni 1.4trl, sasa kitu gani unapinga?. Waziri wenu wa fedha amekiri kwamba "Options" zilizopo ni kuongeza kodi au kukopa ili kupata hiyo 1.4trl (48%) ya bajeti, au hata waziri wenu wa Fedha pia anatoa maoni yake hajui kitu ila wewe ndio unajua kila kitu?.Kindly check out KRA's total REVENUE COLLECTION kijana., sijaongeza mengine, the dude(Prof) is giving his opinion from a sensational news headline., check KRA's website, then find out how and where national treasury gets the rest to add on top of what they will borrow..,
Onyesha ni mradi gani mkubwa unaotekelezwa na serikali ya Kenya bila kuomba mkopo wenye thamani ya $1B?, wacha ubishi wa kitoto, Hakuna hata kiongozi mmoja Kenya anayepinga kwamba uchumi wa Kenya upo katika hali mbaya, viongozi wote na wasomi wote wanakubali kwamba hali ni mbaya isipokua wewe
Kenya madeni ni 70% YA GDP wakati kiwango cha juu kinachopendekezwa na IMF kwa nchi zinazoendelea ni 40%, Tanzania tupo 34%, je hiyo pia ni propaganda ya CCM?,
Tanzania tunajenga bwawa kubwa la umeme kwa thamani ya $3B kwa pesa yetu bila mkopo, wewe onyesha project yoyote yenye thamani inayozidi $500M anbayo serikali yenu inajenga kwa pesa yake.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app