Mapato yote ya GoK ni 1.6trl, bajeti ni 3trl, budget deficit ni 1.4trl (48%). Uchumi wa Kenya umekufa kabisa

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
26,117
46,613

Note: Kenya hutumia Kshs 500B kulipa madeni kwa mwaka, 300B kupeleka katika serikali za majimbo, na pesa yote iliyobaki ni kwa ajili ya mishahara, hivyo kutegemea kukopa by 100% kuweza kutekeleza miradi ya maendeleo, hali ni mbaya sana kwa majirani.

Hivi Kenya kuna watu waliosoma uchumi kweli? Mbona kila kukicha hali inakua nafuu ya jana? Mwanzo wakenya walimlaumu Rotich kwa kuiingiza Kenya katika madeni makubwa, huyu wa sasa ni zaidi ya Rotich, anasema bila kukopa nchi haina uwezo wa kufanya lolote.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
I have watched the video. It's bad, really bad. If what the professor is saying is true, Kenya needs a serious change in the government.
Kenya is a country with millions core problems, there is nor way Kenya can solve them, Kenyans in general have got mental problems, very serious thinking disabilities.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
I have watched the video. It's bad, really bad. If what the professor is saying is true, Kenya needs a serious change in the government.
cha msingi Tanzania tutekeleze mkataba wa Heligoland treat wa mwaka 1890 ambapo pwani yote ya Afrika ya mashariki ikiwamo mombasa, malindi na lamu zilikuwa milki ya mjerumani ambayo sasa ni TANZANIA.
 
kila mahali unahangaika na Kenya. Note Kshs1.607T annual revenue is a whopping Tshs 33.7T!! Your National budget is Tsh34T!

Kenya a small country can comfortably finance your budget! Your annual revenue collection is a meagre Tsh26.13T. If I do forensic analysis ya what is happening in Tz in relation to your revenue collection ndio utajua vile mlivyo bebwa ujinga na CCM kwa "pesa za ndani" propaganda narrative kisa hamna uwezo wa kupambanua Mambo uchumi, pambana na hali yenyu brathe

Jiangalie kwanza! Linchi likubwa, population kubwa uchumi hafifu matokeo ni haya

JamiiForums1552698300.jpg
 
kila mahali unahangaika na Kenya. Note Kshs1.607T annual revenue is a whopping Tshs 33.7T!! Your National budget is Tsh34T!. Kenya a small country can comfortably finance your budget! Your annual revenue collection is a meagre Tsh26.13T. If I do forensic analysis ya what is happening in Tz in relation to your revenue collection ndio utajua vile mlivyo bebwa ujinga na CCM kwa "pesa za ndani" propaganda narrative kisa hamna uwezo wa kupambanua Mambo uchumi, pambana na hali yenyu brathe

Jiangalie kwanza! Linchi likubwa, population kubwa uchumi hafifu matokeo ni hayaView attachment 1688045
Hahahaha, sisi tunapanga matumizi kulingana na uwezo wetu, ninyi mnapanga matumizi makubwa wakati hamna uwezo huo mnategemea wazungu, stupid

Out of 1.6trl mnayokusanya 0.5trl mnalipa madeni ya wazungu, mnabaki na 1.1trl kwa matumizi ya nchi yenu wakati bajeti yenu ni 3trl.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha, sisi tunapanga matumizi kulingana na uwezo wetu, ninyi mnapanga matumizi makubwa wakati hamna uwezo huo mnategemea wazungu, stupid

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Eti mnapanga ona idiocy on steroids! Mko ovyo sana! Fanya hesabu ya revenue yenyu linganisha na hesabu ya raiya Kisha ongeza na matumizi ya ku meet needs za Public! jibu ni LDC. Mko ovyo deadly!! mengine ni kelele ya chura pambana na Hali yako kijana mbona unateseka hivi?. See your life! Hapa, hamtoki Karne hii

JamiiForums1552698300.jpg
 
kila mahali unahangaika na Kenya. Note Kshs1.607T annual revenue is a whopping Tshs 33.7T!! Your National budget is Tsh34T!. Kenya a small country can comfortably finance your budget! Your annual revenue collection is a meagre Tsh26.13T. If I do forensic analysis ya what is happening in Tz in relation to your revenue collection ndio utajua vile mlivyo bebwa ujinga na CCM kwa "pesa za ndani" propaganda narrative kisa hamna uwezo wa kupambanua Mambo uchumi, pambana na hali yenyu brathe

Jiangalie kwanza! Linchi likubwa, population kubwa uchumi hafifu matokeo ni hayaView attachment 1688045
Tumia akili mnaweza kufinance budget ya Tz alafu nyie yenu nani atawalipia?mlitakiwa kuandaa budget ya level yenu sio Huo utumbo mnaoufanya lakini endeleeni tutakutana.
 
Tumia akili mnaweza kufinance budget ya Tz alafu nyie yenu nani atawalipia?mlitakiwa kuandaa budget ya level yenu sio Huo utumbo mnaoufanya lakini endeleeni tutakutana
I meant the revenue Kenya a smaller country collects can sort u guys good licha ya corruption uchumi wa kwenye makaratasi kweli

You are worse than u are meant to believe kaka. What matters is what is in the offing that will stimulate the economy ata ukikopa 200%., Umewai kufanya biashara wewe? not street business, biashara?

Let's wait and see what will be the results in the next two years., mlisema 2020 mnamaliza mchezo lakini wapi!
 
Nafanya bizz ndio.
 
Note: Kenya hutumia Kshs 500B kulipa madeni kwa mwaka, 300B kupeleka katika serikali za majimbo, na pesa yote iliyobaki ni kwa ajili ya mishahara, hivyo kutegemea kukopa by 100% kuweza kutekeleza miradi ya maendeleo, hali ni mbaya sana kwa majirani.

Hivi Kenya kuna watu waliosoma uchumi kweli? Mbona kila kukicha hali inakua nafuu ya jana? Mwanzo wakenya walimlaumu Rotich kwa kuiingiza Kenya katika madeni makubwa, huyu wa sasa ni zaidi ya Rotich, anasema bila kukopa nchi haina uwezo wa kufanya lolote.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Point of correction:
Tanzania's TRA's annual revenue ni Tshs14.6T, the budget ni Tsh 34.2T., revenue is less than half of the budget check yourself bro.
Kenya's revenue ni Ksh. 1.6T(Tsh 33.7T), budget ni ksh3T, revenue is slightly above half of the budget

NB: find out how budgetary cash is raised beyond the revenue. Uko down tu sana, unajaribu kulazimisha fikra na muonekano wa akili yako but wapi
 
Unaumwa wewe, tungekua na budget deficit kubwa kama yenu tungewezaje kujenga reli kwa pesa yetu kwa sehumu kubwa?, tungewezaje kujenga bwawa Kubwa la umeme kwa pesa yetu?, tungewezaje kuendesha nchi bila mikopo?.

Msikilize huyo Professor wenu vizuri, yeye anasema total revenue ya Kenya, hamaanishi pesa inayokusanywa na KRA pekee, kumbuka nchi inapata pesa toka vyanzo mbalimbali vingine hazipitii KRA, kama faini mahakamani na Mali zilizotaifishwa

Kwa ufupi budget deficit ya Tanzania ni less than 5%, ndio sababu tunafanya miradi mikubwa bila mikopo, Kenya hamuwezi kufanya lolote bila mikopo kwasababu hata pesa ya kulipia bajeti yenu hamna

Mweleze kuhusu hazina ya Tanzania.
Vilevile TRA wanakusanya cash na siyo assets kwa ujumla wake.
 
Unaumwa wewe, tungekua na budget deficit kubwa kama yenu tungewezaje kujenga reli kwa pesa yetu kwa sehumu kubwa?, tungewezaje kujenga bwawa Kubwa la umeme kwa pesa yetu?, tungewezaje kuendesha nchi bila mikopo?.

Msikilize huyo Professor wenu vizuri, yeye anasema total revenue ya Kenya, hamaanishi pesa inayokusanywa na KRA pekee, kumbuka nchi inapata pesa toka vyanzo mbalimbali vingine hazipitii KRA, kama faini mahakamani na Mali zilizotaifishwa

Kwa ufupi budget deficit ya Tanzania ni less than 5%, ndio sababu tunafanya miradi mikubwa bila mikopo, Kenya hamuwezi kufanya lolote bila mikopo kwasababu hata pesa ya kulipia bajeti yenu hamna

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Bado una propagate CCM's propaganda?, wacha hasira na ukuje pole pole, najua vyanzo vyote vya kutega uchumi Tz can't meet reccurent expenditure in your National budget, ya kujenga miradi mikubwa wanatoa wapi?, Kama ni vile lazima watanyonga sectors nyingi Sana CCM ilipiga marufuku any independent body/organization kutoa data za uchumi, IMF na World bank smelt a rat, WB wanted publication of actual Tz debt level, mliwapa? Ilibidi mkulu akope loan kumakiza ama kuendeleza projects, anaropokwa tu eti "..,.,kwa pesa za ndani.." Do u know what Ksh300B, allocation to counties can do in Tz?., In your budget where does such amount goes to? Jichunguze sana usije ukashindana na Ndovu kukunya utapasuka
 
Unaumwa wewe, tungekua na budget deficit kubwa kama yenu tungewezaje kujenga reli kwa pesa yetu kwa sehumu kubwa?, tungewezaje kujenga bwawa Kubwa la umeme kwa pesa yetu?, tungewezaje kuendesha nchi bila mikopo?.

Msikilize huyo Professor wenu vizuri, yeye anasema total revenue ya Kenya, hamaanishi pesa inayokusanywa na KRA pekee, kumbuka nchi inapata pesa toka vyanzo mbalimbali vingine hazipitii KRA, kama faini mahakamani na Mali zilizotaifishwa

Kwa ufupi budget deficit ya Tanzania ni less than 5%, ndio sababu tunafanya miradi mikubwa bila mikopo, Kenya hamuwezi kufanya lolote bila mikopo kwasababu hata pesa ya kulipia bajeti yenu hamna

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Kindly check out KRA's total REVENUE COLLECTION kijana., sijaongeza mengine, the dude(Prof) is giving his opinion from a sensational news headline., check KRA's website, then find out how and where national treasury gets the rest to add on top of what they will borrow..,
 
Back
Top Bottom