joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,613
Note: Kenya hutumia Kshs 500B kulipa madeni kwa mwaka, 300B kupeleka katika serikali za majimbo, na pesa yote iliyobaki ni kwa ajili ya mishahara, hivyo kutegemea kukopa by 100% kuweza kutekeleza miradi ya maendeleo, hali ni mbaya sana kwa majirani.
Hivi Kenya kuna watu waliosoma uchumi kweli? Mbona kila kukicha hali inakua nafuu ya jana? Mwanzo wakenya walimlaumu Rotich kwa kuiingiza Kenya katika madeni makubwa, huyu wa sasa ni zaidi ya Rotich, anasema bila kukopa nchi haina uwezo wa kufanya lolote.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app