Mapato yote ya GoK ni 1.6trl, bajeti ni 3trl, budget deficit ni 1.4trl (48%). Uchumi wa Kenya umekufa kabisa

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
19,343
2,000
Kindly check out KRA's total REVENUE COLLECTION kijana., sijaongeza mengine, the dude(Prof) is giving his opinion from a sensational news headline., check KRA's website, then find out how and where national treasury gets the rest to add on top of what they will borrow..,
Wewe una matatizo sio bure, total revenue collection ya nchi yenu ni 1.6trl, na bajeti yenu ni 3trl, deficit ni 1.4trl, sasa kitu gani unapinga?. Waziri wenu wa fedha amekiri kwamba "Options" zilizopo ni kuongeza kodi au kukopa ili kupata hiyo 1.4trl (48%) ya bajeti, au hata waziri wenu wa Fedha pia anatoa maoni yake hajui kitu ila wewe ndio unajua kila kitu?.

Onyesha ni mradi gani mkubwa unaotekelezwa na serikali ya Kenya bila kuomba mkopo wenye thamani ya $1B?, wacha ubishi wa kitoto, Hakuna hata kiongozi mmoja Kenya anayepinga kwamba uchumi wa Kenya upo katika hali mbaya, viongozi wote na wasomi wote wanakubali kwamba hali ni mbaya isipokua wewe

Kenya madeni ni 70% YA GDP wakati kiwango cha juu kinachopendekezwa na IMF kwa nchi zinazoendelea ni 40%, Tanzania tupo 34%, je hiyo pia ni propaganda ya CCM?,

Tanzania tunajenga bwawa kubwa la umeme kwa thamani ya $3B kwa pesa yetu bila mkopo, wewe onyesha project yoyote yenye thamani inayozidi $500M anbayo serikali yenu inajenga kwa pesa yake.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Don YF

JF-Expert Member
May 24, 2014
5,590

The facts remains: Tz budget Tsh34.2T Annual revenue Tsh14.6T., you are worse than Kenya. Revenue ni less than half of your needs!!, How can a $62-64B economy chun outTsh14.6T?? Uchumi wa kwenye makaratasi ni upi?., Facts exposes you badly.
 
Don YF

JF-Expert Member
May 24, 2014
5,590
2,000
Wewe una matatizo sio bure, total revenue collection ya nchi yenu ni 1.6trl, na bajeti yenu ni 3trl, deficit ni 1.4trl, sasa kitu gani unapinga?. Waziri wenu wa fedha amekiri kwamba "Options" zilizopo ni kuongeza kodi au kukopa ili kupata hiyo 1.4trl (48%) ya bajeti, au hata waziri wenu wa Fedha pia anatoa maoni yake hajui kitu ila wewe ndio unajua kila kitu?.

Onyesha ni mradi gani mkubwa unaotekelezwa na serikali ya Kenya bila kuomba mkopo wenye thamani ya $1B?, wacha ubishi wa kitoto, Hakuna hata kiongozi mmoja Kenya anayepinga kwamba uchumi wa Kenya upo katika hali mbaya, viongozi wote na wasomi wote wanakubali kwamba hali ni mbaya isipokua wewe

Kenya madeni ni 70% YA GDP wakati kiwango cha juu kinachopendekezwa na IMF kwa nchi zinazoendelea ni 40%, Tanzania tupo 34%, je hiyo pia ni propaganda ya CCM?,

Tanzania tunajenga bwawa kubwa la umeme kwa thamani ya $3B kwa pesa yetu bila mkopo, wewe onyesha project yoyote yenye thamani inayozidi $500M anbayo serikali yenu inajenga kwa pesa yake.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
..and remember kwa hiyo budget tayari loan repayment iko factored in ndio maana it is Ksh3T, na revenue ni Ksh1.6T., ama haujasoma details??, Sasa nashangaa na ya kwenyu, revenue ni hafifu, mahitaji ni mengi, na bado mtahitaji ku service loan na kujenga nchi kwa "pesa za ndani"., do the maths, TZ is weak, kelele ndio mingi, white elephant projects zinawapa deception of perception mnadhani mko nafuu na juu ya Kenya in economic output
 
Santos06

JF-Expert Member
Mar 11, 2019
1,724
2,000

Note: Kenya hutumia Kshs 500B kulipa madeni kwa mwaka, 300B kupeleka katika serikali za majimbo, na pesa yote iliyobaki ni kwa ajili ya mishahara, hivyo kutegemea kukopa by 100% kuweza kutekeleza miradi ya maendeleo, hali ni mbaya sana kwa majirani.

Hivi Kenya kuna watu waliosoma uchumi kweli? Mbona kila kukicha hali inakua nafuu ya jana? Mwanzo wakenya walimlaumu Rotich kwa kuiingiza Kenya katika madeni makubwa, huyu wa sasa ni zaidi ya Rotich, anasema bila kukopa nchi haina uwezo wa kufanya lolote.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Nyie si mnauchumi mkubwa kuliko tz? Subirini dawa iingie
 
Santos06

JF-Expert Member
Mar 11, 2019
1,724
2,000
Point of correction:
Tanzania's TRA's annual revenue ni Tshs14.6T, the budget ni Tsh 34.2T., revenue is less than half of the budget check yourself bro.
Kenya's revenue ni Ksh. 1.6T(Tsh 33.7T), budget ni ksh3T, revenue is slightly above half of the budget

NB: find out how budgetary cash is raised beyond the revenue. Uko down tu sana, unajaribu kulazimisha fikra na muonekano wa akili yako but wapi
So we have got other sectors
 
Don YF

JF-Expert Member
May 24, 2014
5,590
2,000
Wewe una matatizo sio bure, total revenue collection ya nchi yenu ni 1.6trl, na bajeti yenu ni 3trl, deficit ni 1.4trl, sasa kitu gani unapinga?. Waziri wenu wa fedha amekiri kwamba "Options" zilizopo ni kuongeza kodi au kukopa ili kupata hiyo 1.4trl (48%) ya bajeti, au hata waziri wenu wa Fedha pia anatoa maoni yake hajui kitu ila wewe ndio unajua kila kitu?.

Onyesha ni mradi gani mkubwa unaotekelezwa na serikali ya Kenya bila kuomba mkopo wenye thamani ya $1B?, wacha ubishi wa kitoto, Hakuna hata kiongozi mmoja Kenya anayepinga kwamba uchumi wa Kenya upo katika hali mbaya, viongozi wote na wasomi wote wanakubali kwamba hali ni mbaya isipokua wewe

Kenya madeni ni 70% YA GDP wakati kiwango cha juu kinachopendekezwa na IMF kwa nchi zinazoendelea ni 40%, Tanzania tupo 34%, je hiyo pia ni propaganda ya CCM?,

Tanzania tunajenga bwawa kubwa la umeme kwa thamani ya $3B kwa pesa yetu bila mkopo, wewe onyesha project yoyote yenye thamani inayozidi $500M anbayo serikali yenu inajenga kwa pesa yake.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
My argument our economy in its bad state betters yours in its healthy state! Yani sisi ni wagonjwa hali maututi na bado we manage to chun out ksh1.6T (Tsh33.7T) na nyie mnao piga kifua mko sawa mnatoa way below your budget!., Unaona tofauti wewe?., tunalia na bado tunawanyorosha, what if tukisimama?., ina maana mnabebwa ujinga na CCM wanawalisha propaganda hamuwezi uliza maswali, mgonjwa anafanya vizuri kuliko mwenye afya! SUCH AN OXYMORON! aibu ya mwaka!
 
Nicxie

JF-Expert Member
Jun 20, 2017
10,780
2,000
Tumia akili mnaweza kufinance budget ya Tz alafu nyie yenu nani atawalipia?mlitakiwa kuandaa budget ya level yenu sio Huo utumbo mnaoufanya lakini endeleeni tutakutana.
Nyinyi mliandaa ya uwezo wenu? Unafaa kujiuliza hili swali mara mia kabla ya kutaja Kenya kinywani mwako. Tanzania's budget is Tsh 34.2T wakati your annual revenue is Tsh 14.6T. Huoni kwamba mliandaa bajeti ambayo ni zaidi ya mara mbili ya uwezo wenu? Nyani kweli haoni kundule
 
tuusan

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
14,254

Iyo national revenue umeitoa wap?
Unaupimbi mwingi mno
tapatalk_1584017659452.jpeg

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Don YF

JF-Expert Member
May 24, 2014
5,590
2,000
Iyo national revenue umeitoa wap?
Unaupimbi mwingi mno View attachment 1688784

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
hiyo ndio naita propaganda., TRA's report iliweka wazi , ., bro relax tu., check out TRA's report wacha mbwembwe za wanasiasa na CCM machinery, those are the ones screwing your country in a smart way na hamuoni, wako na ugonjwa same duniani nzima!., they like to appear good to the electorates for political miliage., check their lifestyle bro., Tz is another scam.
 
tuusan

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
14,254
2,000
hiyo ndio naita propaganda., TRA's report iliweka wazi , ., bro relax tu., check out TRA's report wacha mbwembwe za wanasiasa na CCM machinery, those are the ones screwing your country in a smart way na hamuoni, wako na ugonjwa same duniani nzima!., they like to appear good to the electorates for political miliage., check their lifestyle bro., Tz is another scam.
Domestic revenue maana yake ni nn?ni kodi Za TRA pekee yake? Tuende taratibu
 
coodip1

JF-Expert Member
May 5, 2016
1,043
2,000
kila mahali unahangaika na Kenya. Note Kshs1.607T annual revenue is a whopping Tshs 33.7T!! Your National budget is Tsh34T!

Kenya a small country can comfortably finance your budget! Your annual revenue collection is a meagre Tsh26.13T. If I do forensic analysis ya what is happening in Tz in relation to your revenue collection ndio utajua vile mlivyo bebwa ujinga na CCM kwa "pesa za ndani" propaganda narrative kisa hamna uwezo wa kupambanua Mambo uchumi, pambana na hali yenyu brathe

Jiangalie kwanza! Linchi likubwa, population kubwa uchumi hafifu matokeo ni haya

View attachment 1688045
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom