Mapato ya Viongozi Wakuu na Mawaziri

JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
30,408
54,886
..Kuna anayefahamu Raisi,VP,PM, na Mawaziri wanapata mshahara na posho kiasi gani kwa mwezi na mwaka?

..naomba kuelimishwa wanaposafiri nje ya nchi wanapokea posho za kiasi gani.

..mwisho naomba kufahamishwa so far taifa limegharimika kiasi gani kwa safari za nje za Viongozi wakuu.
 
najua dada mmoja pale ikulu akisafiri kwenda ulaya huwa analipwa mil 5 za matumizi nyumba , kulala na vitu vingine kwa siku moja
 
Tafuta zako ikifika 2020 ungana na DOVUTWA na Mzee Rungwe kwenye kampeni mnaweza kuambulia udiwani katakata ya LITUMBANDYOSO hukooo ndani ndani.
 
Tafuta zako ikifika 2020 ungana na DOVUTWA na Mzee Rungwe kwenye kampeni mnaweza kuambulia udiwani katakata ya LITUMBANDYOSO hukooo ndani ndani.
Kuropoka at your best! Ungemuuliza lengo lake kuyajua ni nini I'll tumsaidie data. Haiyumkini, unanufaika kimtindo!
 
Back
Top Bottom