technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 11,975
- 48,843
Kumbe mapato yamepanda kipindi hiki? Mwenye source tunaweza jua yamepanda kwa kiasi gani mwezi May?
Yaani mtu akiwa Jobless unajishughulisha na vitu ambavyo haviwezi hata kukusaidia.Kumbe mapato yamepanda kipindi hiki ? Mwenye source tunaweza jua yamepanda kwa kiasi gani mwezi may?View attachment 1809864
Bado bado bado ndoto za Jiwe zinawawasha , zitawaumiza sana hawa wanafiki wa CCMKumbe mapato yamepanda kipindi hiki ? Mwenye source tunaweza jua yamepanda kwa kiasi gani mwezi may?View attachment 1809864
Haahaa haya magazeti Kama benders fuata upepo...Kumbe mapato yamepanda kipindi hiki ? Mwenye source tunaweza jua yamepanda kwa kiasi gani mwezi may?View attachment 1809864
Yaani mapato yanaweza kupaa kwa kauli tu ya mwanasiasa na siyo mikakati.Rais SSH amewataka viongozi anaowateua kutimiza majukumu yao kikamilifu ikiwa ni pamoja na kusimamia vema mapato ya halmashauri.
"Nyinyi ni wasimamizi wa shughuli zote za kiutendaji katika mikoa yenu, kwahiyo mna kazi kubwa ya kwenda kuifanya huko muendako, hii maana yake ni kwamba viongozi wote wa serikali wako chini yenu...zaidi ya hapo nyinyi ni kiungo muhimu kati ya serikali za mitaa na serikali kuu, MADED wote nyinyi ndio viongozi wao, wanakutazameni nyinyi mna kazi kubwa ya kwenda kufanya ikiwemo ya kusimamia mapato"- Rais Samia.
Kwa kauli hiyo hakuna shaka mapato yataongezeka na matumizi yake yatasimamiwa kikamilifu. Swali Je, hao wateule hawatamwangusha? ikizingatiwa kuwa wengi wetu hutafuta mwanya kutekeleza mambo yetu binafsi!
Kumbe ukiwa na kazi na upo jamii forum na jina fake unakuwa unafahamu huyu ni jobless na huyu ana kazi nzuri ?Yaani mtu akiwa Jobless unajishughulisha na vitu ambavyo haviwezi hata kukusaidia.
Sawa. Na wewe tafuta kazi ikuweke busy upunguze umbeya na kuabudu wanasiasa kwa mambo ambayo hayakusaidii kwa lolote.Kumbe ukiwa na kazi na upo jamii forum na jina fake unakuwa unafahamu huyu ni jobless na huyu ana kazi nzuri ?
Hongera kwa kuwa na kazi nzuri ya kuwatambua majobless.
Maagizo ya Rais, mama SSH, kwa watendaji wake yana nguvu kwa kauli na vitendo. Kama unafuatilia mienendo ya hao wateule utakubaliana na mimi kwamba kwa sasa wanajituma zaidi huru kiutendaji kuliko hapo awali ambapo woga uliwatawala.Yaani mapato yanaweza kupaa kwa kauli tu ya mwanasiasa na siyo mikakati.
Yaani mtu akiwa Jobless unajishughulisha na vitu ambavyo haviwezi hata kukusaidia.