Mapato na Matumizi ya Rambirambi ya Marehemu - Ngwea

KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
18,711
12,067
Tulihamasishwa sana kuchangia mpaka ile namba ya tigo ikawa inagoma kupokea masalio kwa kujaa.
Marehem kishazikwa, sasa tunaomba mchanganuo wenye ushahidi wa mapato na matumizi.
Ni hayo tu.
 
Kuna msemo unasema ''kufa kufaana''nafikiri umeusahahu kaka,mara hii mumeshahau yaliyotokea kwenye msiba wa Kanumba?binadamu ni walewale kaka,hayo mapato na matumizi sahau,hicho ulichochangia ni kamavile ''kilichoenda kwa mganga.....''
 
Ka ni ivo mkuu si kuna uwezekano hiyo kamati ikawa inajipendekeza kupata tenda za misiba mikuu au kuweka mizengwe ili wawe wanapata wao tu!
 
Hivi rais hakutoa rambirambi? Au yeye anapenda movie tu, mitungi na mikasi nehi nehi papaa?
 
Una maswali mengi, kwani we ni polisi?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Pesa za rambirambi hazihitaji audit au kutolea taarifa, hulazimishwi kutoa au ungeunda kamati yako ya mazishi zitumwe kwako, tulete nyuzi zenye mashiko
 
hata hivyo maandalizi ya huyu dogo yamekuwa mazuri
hadi wanazika huko moro naona kama hakuna longo longo nyingi
kamati imejitahidi sana.
 
Back
Top Bottom